Rais Samia afanya mabadiliko Wakuu wa Mikoa. Ally Hapi, Kigaigai, Kafulila na Eng. Robert Gabriel watemwa

Rais Samia afanya mabadiliko Wakuu wa Mikoa. Ally Hapi, Kigaigai, Kafulila na Eng. Robert Gabriel watemwa

Samaki karudishwa baharini
Generali Mbuge
Generali wa Mchongo wa Mwendakuzimu
Alipanda ranks bila kufuata utaratibu wa Jeshi.
Ndio Maana baada ya Mwendakuzimu kurudi kwao, System ya Jeshi ikamtema
Alikuwa Mkuu wa JKT, SASA atarudi kusoma Magazeti tu
 
Nyie mnaopenda kumzushia hizo porojo JK ,2015 mlituponza JK akatukomesha kuliachia LIJIWE lichukue nchi ,mkianza Tena kumchafua Kwa uongo wenu ,anamwachia SSH apange vingaingai vyake ,huyo mama SSH watu anaowajuwa ni wale waliokuwa na JIWE



Kwanini hamtaki Uhuru wa mawazo na fikra na kujieleza katika kufanya kazi na kutumikia waTZ?
 
Mtaka analumbana na mawaziri, tena yuko centre city ya nchi. Ajiandae kuondoka moja kwa moja



Kuondoka moja Kwa moja kivipi?

Huyo waziri yeye ndiye atadumu milele?

Wenzetu ambao wako aggressively huwa wanapeana makavu live, wanapeana challenge, wanajojiana badala ya hewala hewala ambazo does not lead lead into efficiency and value addition.
 
WanaDodoma tutammiss sana Antony Mtaka,
Alikusudia kutufikisha hatua za mbele za maendeleo Na watoto wetu.

Inavyoonekana kuna watu wanataka tubaki tulivyo tuendelee kuwa vibarua wa wageni na watoto wetu.

Akija mwenye maono ya kututoa hapa tulipo wanamhusudu na kumuondoa!
 
Generali wa Mchongo wa Mwendakuzimu
Alipanda ranks bila kufuata utaratibu wa Jeshi.
Ndio Maana baada ya Mwendakuzimu kurudi kwao, System ya Jeshi ikamtema
Alikuwa Mkuu wa JKT, SASA atarudi kusoma Magazeti tu
Alibyopanda mbuge ni kama alivyopanda Mkunda, ukiwa na nafasi flani kusogea nafasi nyingine ni rahisi. Kama mbuge angekua colonel alafu akapanda hadi major general basi kweli shida ingekuwepo. Ila cheo alichokua nacho ana alivyopanda ni halali kabisa
 
Chalamila hqjawahi hata siku moja kuwa sukuma gang. Acha kujifariji. Yule ji mnyalukolo hana unasaba Wala uhusiano na uSukuma. Kama hujui maana ya sukuma gang uliza ujibiwe
Ally hapi ni msukuma? Au sabaya ni msukuma?
 
Wakuu natanguliza shukrani za dhati kwenu wadau na wazalendo wa jiji letu la Mwanza na mkoa wetu wa Mwanza kwa ujumla.

Kumetokea teuzi za wakuu wa mikoa mbalimbali hapa nchi, kuna wengine wameachwa na wengine wakibadilishwa.
Kiini cha kuandika hapa leo ni kutaka kujua kutoka kwenu nyie wadau wa Mwanza, ni kipi kilichosababishwa mkuu wetu wa mkoa mchapa kazi eng.Robert Gabriel Luhumbi kutenguliwa ukuu wa mkoa wa Mwanza?
Kama kuna mdau atakayechangia naomba anitoe tongotongo kwani toka nijifahamu adi nimefika umri huu sijawahi kuona mkuu wa mkoa bora na mzalendo kama huyu ingawa kahudumu kwa muda mchache sana lakini kuna mengi mazuri na makubwa kafanya ndani ya mkoa wetu, yafuatayo ni mazuri aliyofanya japo ambayo mimi kitombile nitamkumbaka sana nazani haya ndio yalisababishwa atolewe?
1.kuhakikisha miradi ya mkoa wa Mwanza inakamilika kwa wakati?, kuna muda stendi na masoko yalikuwa yamesimama kutoka na pesa kutokufika kwa wakati badi kama mkuu wa mkoa alikuwa akiimiza serikali kupeleka pesa ili miradi ya mwanza ikamilike.

2.Kuzuia ubadhirifu wa pesa za umma, mfano alipoweka wazi wizi na ufisadi kwenye jengo la utawala la halmashauri ya sengerema.

3. Kukaa pamoja na wafanyabiasha mbalimbali wakubwa kwenye warsha mbalimbali na kuwasisitiza wafanye uwekezaji katika jiji la Mwanza.

4. Kuanzisha ujenzi wa shule 11000 katika mkoa wa Mwanza kwa nguvu za wananchi ili watoto wapate elimu bora

5.kuanzisha wazo la ujenzi wa barabara za lami ata kama ni 0.5km kwa pesa za tarura kuliko kutumia hizo pesa kwa kutengeneza na kuboresha mabarabara ya mjini yanayoharibika baada ya mvua kunyesha akasema ni bora tuwe tunajenga barabara imara kidogo kidogo kadri tutakavyopata pesa.

6.kupunguza ujenzi na wizi katika miradi ya kiserikali, majengo mengi yaliyojengwa chini ya kiwango aliweza kuyadhibiti.

7. Kuhimiza na kuanzisha ujenzi wa masoko mbalimbali kwa kuisumbua serikali kutafuta pesa kwaajili ya masoko ya mwanza kama ifuatavyo ujenzi wa soko la mchafu koge, makorobohi n.k alitaka yajengwe ikiwemo machinga complex.
N.B Mambo ni mengi sana adi nachoka kuandika inafikia hatua najiuliza huyu samia kwanini amefanya uhamuzi wa kumtoa huyu mkulungwa mzalendo.
Kama kuna mtu aranisaidia kuchukua hizi point na kuhanzisha uzi ni sawa tu lakini nimeona niandike humu wadau wa jiji la Mwanza wapate kuchangia kwa mawazo nimeandika sana nikiwa na mawazo sana juu ya hatima wa huu mkoa wangu
 
Heri Nguo Kuraluka lakini Sio Akili , Mwanadamu akoswapo akili kiasi Cha kushindwa kujitambua na kuachia wengine ndio wamfanye ajitambue , Huishia kua kama Daladala.

Labda niwaweke sawa, HANGAYA hakubaliki Kanda ya Ziwa Kwa sababu tu Kanda ya Ziwa ni watu werevu wenye macho, masikio , na Akili .

HANGAYA hakubaliki Kanda ya Ziwa sio sababu ya Akina Happi , Kafulila !!

Umedanganywa kua Wakuu Hawa wa Mikoa hawachukui JITIHADA za makusudi kukusafisha ili ukubarike , kisa tu ni Waumini wa Falsafa za JPM yaan Wazalendo wenye zero tolerance linalokuja suala la Rushwa, Ufisadi .

HANGAYA kwakua Toka utoto wake inajulikana ana uwezo Mdogo wa kichwa , uswahili mwingi, ameishia kua Sehem ya kujipigia tu .

HANGAYA, NA GENGE LAKO, HAMKUBARIKI KANDA YA ZIWA, HATA MPELEKE WAKUU WA MIKOA WALOWAAMINIFU KWENYE KUNDI LENU, HAMUAMINIKI NA HAMTAAMINIKA SABABU NYINYI NI WANAFIKI.
 
Naona wanachaguana wale wale..
mchagueni hata shangazi yangu.
Ukoo mzima hatuna DC wala RC
mgasi hunu utakuchilola
 
usiumize kichwa wewe, at the end you will remain with no choice and die natural death.

Leo nimefurahi, mwanangu Chala boy is back, kunywa bia. Linchi ligumu hili na CCM ni lidude likubwa sana.
 
Back
Top Bottom