Rais Samia afanya Mabadiliko ya Makatibu Tawala na Wakurugenzi Watendaji Serikali za Mitaa

Rais Samia afanya Mabadiliko ya Makatibu Tawala na Wakurugenzi Watendaji Serikali za Mitaa

Teh teh ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ noma sana hii, haaa haaaa๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
We acha tu, haiingii akilini! ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜…๐Ÿ˜Œ
.....halafu bado jobless watakao tolewa mule ili kuleta "ufanisi"

Subiri....Kariakoo cha mtoto
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu alitumbuliwa na Magu, leo katupwaa home kwetuu, bora angepelekwa Handeni kwa baby mama wake kidotiii.
Huko miuno ya kingoni itamuua๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko ya Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri za Serikali za Mitaa.

Katika mabadiliko hayo, Mheshimiwa Rais amefanya uteuzi mpya pamoja na kuwahamisha vituo vya kazi baadhi ya Makatibu Tawala na Wakurugenzi Watendaji.

Mabadiliko hayo ni kama ifuatavyo:
View attachment 2648638View attachment 2648639View attachment 2648640View attachment 2648641

View attachment 2648656View attachment 2648657View attachment 2648658View attachment 2648659View attachment 2648661View attachment 2648662View attachment 2648663
Jamani mliosoma hii habari mmemwona Pasko bin Mayalla?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Itakuwa connection kuna mahala nyaya zimeachia[emoji1787]
Kabisaaaa maana hao hapo wote ni wale wale watoto wa mjini na Wa vigogo unyama sanaaa....
Naanza kuwa chawa na Mimi
Nyaya zimeachia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom