Teh teh 😂😂😂 noma sana hii, haaa haaaa😃😃Huyu asiwaondoeni kwenye Reli.
Bandari Inauzwa Bandari Inauzwa
Hao hao hao Kamata hao, kamata hao, shika hao
Ni mama wa wajinga wengi waliopo Tz.Raisi anayetumia kivuli cha umama kuongoza nchi hafai hata kidogo.
We acha tu, haiingii akilini! 😁😁😅😌Teh teh 😂😂😂 noma sana hii, haaa haaaa😃😃
Kangepigwa chini moja kwa mojaKamehamishwa. Na tetesi zilitoka hata kabla ya huu mkeka.
Kupigwa chini moja kwa moja ni ngumu kwenye huu utawala wa kujuana na kulindana. Na ndiyo maana kanajiamini.Kangepigwa chini moja kwa moja
Huko miuno ya kingoni itamuua🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu alitumbuliwa na Magu, leo katupwaa home kwetuu, bora angepelekwa Handeni kwa baby mama wake kidotiii.
🤣🤣🤣🤣🤣 Itakuwa connection kuna mahala nyaya zimeachia🤣Km kwenye huu mkeka Hauna hata mmoja unaemjua angalia connection zako
Jamani mliosoma hii habari mmemwona Pasko bin Mayalla?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko ya Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri za Serikali za Mitaa.
Katika mabadiliko hayo, Mheshimiwa Rais amefanya uteuzi mpya pamoja na kuwahamisha vituo vya kazi baadhi ya Makatibu Tawala na Wakurugenzi Watendaji.
Mabadiliko hayo ni kama ifuatavyo:
View attachment 2648638View attachment 2648639View attachment 2648640View attachment 2648641
View attachment 2648656View attachment 2648657View attachment 2648658View attachment 2648659View attachment 2648661View attachment 2648662View attachment 2648663
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na atasahau kwao kabisaaHuko miuno ya kingoni itamuua[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakika, nakubaliana na wewe asilimia mia moja.Ni mama wa wajinga wengi waliopo Tz.
Kabisaaaa maana hao hapo wote ni wale wale watoto wa mjini na Wa vigogo unyama sanaaa....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Itakuwa connection kuna mahala nyaya zimeachia[emoji1787]