Rais Samia afanya makubwa, wafanyakazi walipiwa mikopo yao

Rais Samia afanya makubwa, wafanyakazi walipiwa mikopo yao

Mleta uzi yupo sahihi,Kuna mambo mawili yamefanyika.
1. Deni la HESLB limerekebishwa,kwa maana kwamba lililopo kwenye Salary slip kwa Sasa linaendana na Loan statement ya HESLB,shahidi ni Mimi mwenyewe.
2. Wenye mikopo yao benki na taasisi nyingine za kifedha,kiwango Cha marejesho kwa mwezi wa kwanza kimeongezeka Mara mbili bila kuadhiri take home yako. Mfano,Kama Deni lako mwezi December 2021 lilikuwa 600,000/=na Makato/marejesho ya kila mwezi ni 200,000/= ilitakiwa Deni libaki 400,000/= lakini kwa Sasa limebaki 200,000/=. Mpaka Sasa hakuna ufafanuzi wowote uliotolewa juu ya hili la pili na mamlaka zinazohusika.
Mfuto wa kutoa salary slip utakuwa na shida.
 
Back
Top Bottom