Rais Samia afanya makubwa, wafanyakazi walipiwa mikopo yao

Hakika Nani Kama mama,hakika anaupiga mwingi! ,Pongezi kwako mama wetu mpedwa!! Mungu akupe na kukujalia kila lililo la kheri.!!

Ni hivi kwa wale watumishi wa umma,hebu chungulieni salary slip zenu hakika mtaona Kuna tofauti kubwa sana imefanywa na huyu rais wa watu ,yaani Kama una mkopo Bank Au Loan Board ..
Chukua kiasi cha mkopo wa mwezi 12/2021 toa kiasi cha mkopo mwezi 1/2022. Utagundua kuwa umelipiwa Mara Mbili ya kiasi ambacho huwa unalipa kila Mwezi ..,hapa Ni kwamba Kama mkopo wako ulitarajia utaisha mwezi wa pili ,basi mwezi huu umeshalipiwa ,hivyo hudaiwi.

Sisi wafanyakazi wako tunaahidi kumuunga kwa kila unalolifanya ,Samia Safi!!!,Nani Kama mama????

# kazi iendelee!!
Msipolipiwa mkopo mwezi ujao msije kulialia
 
Anafanya biashara gani hadi atulipie wote hivyo...au ameuza nchi
 
Sijaelewa
 
Mleta uzi yupo sahihi,Kuna mambo mawili yamefanyika.
1. Deni la HESLB limerekebishwa,kwa maana kwamba lililopo kwenye Salary slip kwa Sasa linaendana na Loan statement ya HESLB,shahidi ni Mimi mwenyewe.
2. Wenye mikopo yao benki na taasisi nyingine za kifedha,kiwango Cha marejesho kwa mwezi wa kwanza kimeongezeka Mara mbili bila kuadhiri take home yako. Mfano,Kama Deni lako mwezi December 2021 lilikuwa 600,000/=na Makato/marejesho ya kila mwezi ni 200,000/= ilitakiwa Deni libaki 400,000/= lakini kwa Sasa limebaki 200,000/=. Mpaka Sasa hakuna ufafanuzi wowote uliotolewa juu ya hili la pili na mamlaka zinazohusika.
Mammlaka zije zitoe ufafanuzi tusije kula pesa ya Kodi tukiamini mtumaji kakosea namba
 
Mkuu Ulitaka akakatikiwe mauno mama yako au? ,Mimi siwezi acha ipongeza serikali yangu maana ndo inaniweka mjini,sasa wewe Ulitaka nimpongeze yule Mrs Robert Amsterdam au yule Makengeza?
Wanataka umpongeze yule mabaga fresh wa ughaibuni au DJ FAM
 
Hakika Nani Kama mama,hakika anaupiga mwingi! ,Pongezi kwako mama wetu mpedwa!! Mungu akupe na kukujalia kila lililo la kheri.!!

Ni hivi kwa wale watumishi wa umma,hebu chungulieni salary slip zenu hakika mtaona Kuna tofauti kubwa sana imefanywa na huyu rais wa watu ,yaani Kama una mkopo Bank Au Loan Board ..
Chukua kiasi cha mkopo wa mwezi 12/2021 toa kiasi cha mkopo mwezi 1/2022. Utagundua kuwa umelipiwa Mara Mbili ya kiasi ambacho huwa unalipa kila Mwezi ..,hapa Ni kwamba Kama mkopo wako ulitarajia utaisha mwezi wa pili ,basi mwezi huu umeshalipiwa ,hivyo hudaiwi.

Sisi wafanyakazi wako tunaahidi kumuunga kwa kila unalolifanya ,Samia Safi!!!,Nani Kama mama????

# kazi iendelee!!
Sometime huwa kunatokea changamoto ktk mfumo wa salary slip.
Usishangilie sana,subiri next month uone kama itabaki hivyo,au la.
 
Benki kuu sijui huwa wamelala. Mfano Finca wanapandisha riba wanavyotaka wananchi wa kawaida wanaumia sana huku mmekaa kimya tuu mama angeifumuwa bot
 
Rais Samia afanya makubwa, wafanyakazi walipiwa mikopo yao​

Hii habari imekuwa ikisambaa kwa Kasi sana na serikali haijatoa ufafanuzi wowote kwakua wewe ni msemaji wa serikali tunaomba ufafanuzi kipi kimetokea.
 
Hili jambo la ajabu namna hii lingekuwa limetokea kwenye nchi zinazojitambua usingemkuta Samia Ikulu sasa hivi.

Lakini kwa sababu limetokea kwenye nchi ambayo ina mandondocha badala ya binadamu hata kusambaza video hii ili ionekane na watu wengi zaidi kwa lengo la ku-create awareness bado linaonekana ni jambo la ajabu!

Hakuna malaika wala Mungu ambae atashuka kutoka mbinguni kuja kuikomboa nchi yako.Changamoto zote katika Taifa hili zipo mikononi mwetu.Kama tumeamua leo kuwa mandondocha na kujenga Taifa la ajabu kwa kizazi cha kesho jua kuwa gharama ya ujinga huo siyo tu kwamba italipwa na sisi wenyewe leo bali hata na kizazi kijaacho.

Ni aibu kuwa na Taifa lenye watu ambao kwa mambo ya kijinga na ya aibu kama aliyofanya Samia kwao ni mambo ya kawaida.
Ni kwa sababu una akili kisoda huwezi elewa.
 
Bodi ya mikopo kilichoondolewa ni penalty,retention fees,ila kwenye bank za biashara makato pia yameshushwa (interms of %) so kilichofanyika ni kuwekewa deni halisi la makato mapya,ambapo wengi inaonesha kama umelipiwa 2 months.
Anyway,Hongera Mama SSH
Hiyo ni endelevu au ni adjustments za mwezi mmoja tu nikimaanisha huko kuona umelipiwa mara mbili kutaendelea miezi inayofuata?
 
Back
Top Bottom