Rais Samia afanya makubwa, wafanyakazi walipiwa mikopo yao

Ambao hatujaajiriwa huko serikalini, nani atatulipia mikopo yetu? Au sisi sio Watanzania?
 
Watulipie madeni yote tunayodaiwa benki ndo tutajua wako serious kumsaidia mtumishi.....
 
Kama take home yako haijabadilika, maana yake loan board pamoja na taasisi zingine wamefanya loan adjustment.

Mfano; ulikuana mkopo wa milion moja na marejesho ni 200,000 kila mwezi kwa miezi 7 na ndani ya yaani mkopo wa sh 1m +400,000 riba(40%). Sasa wakishusha riba kutoka 40 hadi 20. Maana yake rejesho moja litapungua maana utakuwa na 200,000 mara sita na sio saba.

Hivyo effect utayoona kwemye loan balance yako mi kupungua kwa rejesho moja au zaidi kulingana na ukubwa wa mkopo na kiasi riba kilichopunguzwa.

Hayo ni mawazo yangu, sijawahi kusikia duniani serikali inawalipia wafanyakzi wake mkopo.
 
Ya mama Samia imeweza mkuu
 
Unaitwa mwalimu nani!?
 
Hivi mkuu nikihitaji HESLB statement yangu naipataje? Ni hadi niende physically ofisini kwao? Nilijaribu kucheki online nikaambiwa within 48 hrs ningetumiwa but sikuona chochote 🤔
 
Baadhi ya mabenki wameshusha riba za mikopo,huenda hili ndo limefanya muone mabadiriko hayo
 

Nimeshangaa kuona cdaiwi, kumbe mama kafanya yake,

Allhamdulilah
 
Chawa wa mama...
Mama kalipa mpaka mikopo ya NMB na CRDB?

#YNWA
 
Bodi ya mikopo kilichoondolewa ni penalty,retention fees,ila kwenye bank za biashara makato pia yameshushwa (interms of %) so kilichofanyika ni kuwekewa deni halisi la makato mapya,ambapo wengi inaonesha kama umelipiwa 2 months.
Anyway,Hongera Mama SSH
 
SIO KWELI 100%. Mwaka jana wakati wa sikukuu ya wafanyakazi(May Day) alisema hali ya uchumi ni mbaya.Mpaka leo wafanyakazi wa mashirika ya umma wana miaka zaidi ya 6 hawajaongezwa hata senti tano.Labda kaongeza mishahara kwa wafanyakazi wa Ikulu na wale wa ToT. Wale wa mashirika ya umma ni vilio tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…