Rais Samia afanya makubwa, wafanyakazi walipiwa mikopo yao

Mleta uzi yupo sahihi,Kuna mambo mawili yamefanyika.
Mpaka Sasa hakuna ufafanuzi wowote uliotolewa juu ya hili la pili na mamlaka zinazohusika.
Ndipo unapokuja usemi wa "unapokula na kipofu angalia usimguse mkono"
 
Kwamba anachukua kodi zetu kuwalipia mikopo yenu binafsi? Au mna maana gani?
 
Kama hili ndio limefanyika basi tuna shida kubwa kuliko tulivyodhani.
 
Halafu mama anasema pesa ya kununua nguzo hakuna, wananchi wabebe bebe mzigo. Ila mbinu ya kuwatua watu mizigo waliyojitwisha kwa hiari yao ipo. Dah!!!
 
Mkuu Ulitaka akakatikiwe mauno mama yako au? ,Mimi siwezi acha ipongeza serikali yangu maana ndo inaniweka mjini,sasa wewe Ulitaka nimpongeze yule Mrs Robert Amsterdam au yule Makengeza?
Weka picha basi tuone unavyokata mauno, maneno mengi yanin
 
Halafu mama anasema pesa ya kununua nguzo hakuna, wananchi wabebe bebe mzigo. Ila mbinu ya kuwatua watu mizigo waliyojitwisha kwa hiari yao ipo. Dah!!!
Acheni roho mbaya, tumemyimwa increment na madaraja Kwa miaka mitano, ukiiuliza tunajenga nchi...sasa mama kaondoa dhuluma ya retention fee, kayashawishi mabenki kupunguza interest ndo ukaona madeni yamepungua....mnaanza kuweka vijiba.
Watanzania tuna roho za Kwa nini sana.
 
Never Going to Happen. Tatizo hamtumii Akili Timamu
 

 
Hebu fikiria kila kijiji, kila nyumba tanzania nzima ina umeme na maji safi, salama ya bomba yanatoka. Na mpaka vijiji vimeunganishwa kwa lami, wilaya kwa four lane high way. Mikoa imeunganishwa kwa double roads. Hivi......wanasiasa wetu kwenye kampeni wangeongelea nini???!!.
Yamkini huoni uhusiano wowote na hiyo mikopo mwalimu wangu. Lakini nina uhakika ungekulia katika future impossible tense niliyoongelea hapo juu. Ni aghalabu mtu wa kaliba yako leo hii kuwa mwalimu. Ama kama ni mwalimu, basi ungekuwa unakopesha watu badala ya wewe kukopa.
Lakini la msingi ambalo hukuelewa, hivi sasa tunaongelea mustakabali wa watoto wa wajukuu zetu.

Wakatabahu
Infopaedia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…