Rais Samia afanya uteuzi, Kafulila awa Kamishna wa Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP)

Unaona leo hili au unajisahaulisha kipindi cha Magu
Magu alikuwa ataki sofa alikuwa ana takamtu ana challenge Kwa hoja ana mpanafas akawakilishe zile hoja zake mfano ,mkuu wa wilaya ya luangwa alikuwa clouds pia Bashe kumpa unaibu wazili kilimo kutokana na hojazake bungeni nk
 
Ila hii nchi haiko siriasi kwakweli...mpaka unajiuliza Hawa watu wamesoma kweli kwa Mambo ya aibu wanayofanya halafu huu ujinga wa kuteua na kutengua hivyo JIWE ndo aliasisi.
 
Ni zamu ya kupigwa Mawe mfululizo maana mwenzao ametoboa baada ya msoto wa muda( sema mjitahidi kutunza heshima za mtakaowashambulia coin iko na pande 2). TUMBO LINATUPA USUMBUFU MKUBWA SANA.
 
Jamani shule ya kusifia bila kuona Aibu hapa Tanzania inapatikana wqpi?

Kuhusu watu wa Kigoma nafikiri ni inborn wakiongozwa na Mwijaku na Baba Levo
 
Ukilala kikawaida
Ukaamka kikawaida
Ukala kikawaida
Ukateuwa wakawaida
Tegemea matokeo yakawaida.
 
Wadau,
Mkeka wa teuzi zingine huu hapa na Mstaafu Kafulila amekumbukwa!View attachment 2470231
View attachment 2470232

=====

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi kama ifuatavyo:-

Amemteua Dkt. Ellen Mkondya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa - Muhimbili. Dkt. Mkondya ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Benjamini Mkapa, Dar es Salaam.

Amemteua Bw. Justine Peter Mwandu kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Bima la Taifa (NIC). Bw. Mwandu ni Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Tanzania Reinsurance (TANRE).

Amemteua Prof. Verdiana Grace Masanja kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI). Masanja ni Profesa wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Nelson Mandela.

Amemteua Bw. Griffin Venance Mwakapeje kuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania. Bw. Mwakapeje alikuwa Mkurugenzi, Idara ya Huduma za Kisheria kwa Umma, Wizara ya Katiba na Sheria. Bw. Mwakapeje anachukua nafasi ya Bw. Casmir S. Kyuki ambaye atamaliza kipindi chake tarehe 07 Januari, 2023.

Amemteua Bi. Fatma Mohamed Abdallah kuwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Puma Energy Tanzania. Bi. Abdallah ni Meneja wa Kampuni ya Puma Energy nchini Geneva. Aidha, Bi. Abdallah anachukua nafasi ya Dominic Dhanah ambaye amemaliza muda wake.

Amemteua Bw. David Zacharia Kafulila kuwa Kamishna wa Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP). Bw. Kafulila ni Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mstaafu.

Teuzi hizi zinaanza mara moja.
Kafulila ana kipawa na Maarifa hongera sana kwa mamlaka ya uteuzi
 
Na anaenda na Kafulila Davos kwenye Mkutano wa Jukwaa la Uchumi.
 
Matusi mliyomtukana hajmkujali......persistence inalipa🤣🤣
 
Back
Top Bottom