Rais Samia afanya uteuzi, Kafulila awa Kamishna wa Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP)

Rais Samia afanya uteuzi, Kafulila awa Kamishna wa Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP)

Hizi teua tumbua zinazoendelea zitatuletea matatizo. Maana machawa na waimba mapambio wataongezeka sasa ili wateuliwe na walio madarakani wasitumbuliwe.

Kina Ally Hapi wataibuka sasa hivi kusifia hata visivyosifiwa vya mama ili waonekane na wao.
Na wale walio na nafasi zao bado watasifia mpaka jinsi mama anavyotembea ili tu wasitumbuliwe.
Mtaani kugumu sana hali tete. Shika sana ulicho nacho
 
Barua ya awali ilikuwa na Makosa, marekebisho yameshafanyika.

Mulugo aliwah kusema Saddam Hussein ni Rais wa wapi ?

Leo Ikulu imeshindwa kujua kwamba Geneva ni mji na si nchi.

NI kosa dogo Kwa muktadha wa kawaida lakin ni kosa kubwa kidiplomasia.
FB_IMG_1672944716879.jpg
 
Uchawa unalipa saana.....

We unafikiri Baba Levo na Mwijaku ni wajinga.
 
Huyo anaetoka Swizz alifukuzwa kazi au alistaafu?

Kama alikuwa kazini dah aisee!

Mtu unamtoa kwenye mshahara wa usd+13cheque bado full allowance bado kule anakuwa n mfanyakazi wa kigeni unamleta huku kwenye Tsh huyo mtu atalipwa kiasi gani?

Vipi mshahara utakuwa umepanda au utashuka?

Sisi ambao hatuna ajira Ni lini tutapata sehemu ya kujishikiza nasi tulee wazazi na ndugu zetu walau hata waweze kunywa maji ya bomba walau?
 
Kwa hiyo ukitenguliwa ndio umestaafu?
Kwa hiyo bwana kafulila kwa umri wake mdogo alikuwa analipwa kiinua mgongo?
 
Naiona siku yaja hivi karibuni ambayo nitaamshwa asubuhi, nitaambiwa kuna V8 iko nje inanisubiri nimepewa teuzi inabidi nipelekwe Ikulu mara moja.
 
Back
Top Bottom