Magu alikuwa ataki sofa alikuwa ana takamtu ana challenge Kwa hoja ana mpanafas akawakilishe zile hoja zake mfano ,mkuu wa wilaya ya luangwa alikuwa clouds pia Bashe kumpa unaibu wazili kilimo kutokana na hojazake bungeni nkUnaona leo hili au unajisahaulisha kipindi cha Magu
Kwa hiyo sisi wengine ni looser forever!?Safi sana,ukiwa mshindi wewe ni mshindi tu forever
Labda ubadilishe hilo jina kwanza. Jiite Naantombe Ali Makame.Mama na mimi utanikumbuka lini? Nina uwezo mkubwa sana
Au Naantoombe Faki Dadi Faki.Labda ubadilishe hilo jina kwanza. Jiite Naantombe Ali Makame.
Kafulila ana kipawa na Maarifa hongera sana kwa mamlaka ya uteuziWadau,
Mkeka wa teuzi zingine huu hapa na Mstaafu Kafulila amekumbukwa!View attachment 2470231
View attachment 2470232
=====
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi kama ifuatavyo:-
Amemteua Dkt. Ellen Mkondya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa - Muhimbili. Dkt. Mkondya ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Benjamini Mkapa, Dar es Salaam.
Amemteua Bw. Justine Peter Mwandu kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Bima la Taifa (NIC). Bw. Mwandu ni Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Tanzania Reinsurance (TANRE).
Amemteua Prof. Verdiana Grace Masanja kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI). Masanja ni Profesa wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Nelson Mandela.
Amemteua Bw. Griffin Venance Mwakapeje kuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania. Bw. Mwakapeje alikuwa Mkurugenzi, Idara ya Huduma za Kisheria kwa Umma, Wizara ya Katiba na Sheria. Bw. Mwakapeje anachukua nafasi ya Bw. Casmir S. Kyuki ambaye atamaliza kipindi chake tarehe 07 Januari, 2023.
Amemteua Bi. Fatma Mohamed Abdallah kuwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Puma Energy Tanzania. Bi. Abdallah ni Meneja wa Kampuni ya Puma Energy nchini Geneva. Aidha, Bi. Abdallah anachukua nafasi ya Dominic Dhanah ambaye amemaliza muda wake.
Amemteua Bw. David Zacharia Kafulila kuwa Kamishna wa Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP). Bw. Kafulila ni Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mstaafu.
Teuzi hizi zinaanza mara moja.
Na anaenda na Kafulila Davos kwenye Mkutano wa Jukwaa la Uchumi.Wadau,

Kapiga sana Domo hapo mwishoni mwa Mwaka acha tumbili wa watu akumbukweChawa wa Mama hao
Matusi mliyomtukana hajmkujali......persistence inalipaš¤£š¤£Wadau,