Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

Yaani mawaziri ni Tanga, Pwani, Zanzibar. Mikoa mingine mmoja mmoja sana.

Mara haina waziri, Simiyu haina waziri. Shinyanga sijui kama yupo, Geita sijui kama yupo.
Mara mnataka mtawale kama mlivyotawala jeshini [emoji41] maana majenerali zaidi ya 60% ni wakwenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…