Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 6,585
- 10,363
Hao c ndo wachezeshaji ....yan ni tegemezi kwenye kikosi cha mamaHivi kina nape ,makamba hawaguswi na mwigulu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao c ndo wachezeshaji ....yan ni tegemezi kwenye kikosi cha mamaHivi kina nape ,makamba hawaguswi na mwigulu
Degree cha mtoto wapo waliofanyiwa PhD hapohapoSiyo kilaza,kama alifanikiwa kumaliza degree ya sheria pale UDSM.Si kilaza huyu.Sema tu uongozi wake hauna faida kwa jamii,kama aliamua kuuza ganda, maana yake hana nia nzuri na jamii.
Ili iweje labda?Nahisi kawekwa kimkakati, .. hapo UTAWALA BORA.. anakaa na nyoka wamapanga mipango
Yule ni Tiss. Yani yeye na kidoti ni Tiss wabobezi. Na walikuwa watu wachache wa mwanzoni mwanzoni kijua kifo cha MagufuliFA kapata mafanikio ya kisiasa ndani ya muda mfupi mno kongole kwake
Kama siki zote nchi inavyo endeshwa, nani yupo nyuma ya nani na anamuweka kwa ajiri ya fursa sio faida ya nchi .. watu wenye ma Godfather haoIli iweje labda?
Ile lizee bila kuitwa Ikulu kuu ya mwisho nchi haitakaa ipate rais bora...Kama siki zote nchi inavyo endeshwa, nani yupo nyuma ya nani na anamuweka kwa ajiri ya fursa sio faida ya nchi .. watu wenye ma Godfather hao
Atawezaje utendaji kalelewa kimayaimayai kila kitu kuletewaHilo linajulikana anaishi kwa mbeleko ila haliondoi ukwel wa uwezo wake mdogo kiutendaj,waache walambe asali ni haki yao ya kikatiba😅
Ila Mungu ana nguvu sana, kila mtu atapewa pakanga yake kwa mda sahihiL
Ile lizee bila kuitwa Ikulu kuu ya mwisho nchi haitakaa ipate rais bora...
Naona athari za mkwere ziko wazi sasa
Nchi inaongozwa nje ya Ikulu hatari sanaIla Mungu ana nguvu sana, kila mtu atapewa pakanga yake kwa mda sahihi
Acha chuki. Ridhiwani kasoma a-level Mkwawa sec kisha chuo UDSM... na akapita law school kabla ya kuwa advocate. Sasa huo u-kilaza uko wapi?Kilaza atapewa jukumu gani?ashukuru anabebwa na jina la baba 🙅
Mara mnataka mtawale kama mlivyotawala jeshini [emoji41] maana majenerali zaidi ya 60% ni wakwenuYaani mawaziri ni Tanga, Pwani, Zanzibar. Mikoa mingine mmoja mmoja sana.
Mara haina waziri, Simiyu haina waziri. Shinyanga sijui kama yupo, Geita sijui kama yupo.
Mniombee, nimeji sacrifice kwa ajili ya watz.Haha eti dini ya majahazi [emoji1]
Kwani ukristo uliletwa kwa ndege afrika
Ova
Pengine MwanaFA na mama Samia kuna mahali wako dugu moja!Uteuzi wa mediocre personalities sasa umezidi!
Sina la kuongeza ila mama umeingia kwenye mtego wa maono wananchi tusiyoyajua.
Mama anayumba vibaya sana tuwe makini.Uteuzi wa mediocre personalities sasa umezidi!
Sina la kuongeza ila mama umeingia kwenye mtego wa maono wananchi tusiyoyajua.
Nina hakika 100% Samia hamjui Mwana FA .Uteuzi wa mediocre personalities sasa umezidi!
Sina la kuongeza ila mama umeingia kwenye mtego wa maono wananchi tusiyoyajua.
Wachagga hawazitaki mbichi hizi.Hahaha , …