masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Tuna set very low standards kwa calibre ya uongozi wa juu karne hii.Nina hakika 100% Samia hamjui Mwana FA .
Yaan jina akiletewa, siku anamuapisha ndio atamjua, alaaah kumbe nmemchagua Mwana FA🤣🤣
Hapo hakuna jibu sahihi.Kati ya waziri na naibu Nani mtendaji mkuu?
Mkuu unasumbuliwa na chuki na husda na wivu mkali..Tuna set very low standards kwa calibre ya uongizi karne hii.
Si angechukiliwa machinga pale barabarani apewe uwaziri?Mkuu unasumbuliwa na chuki na husda na wivu mkali..
Huyo Rizi anabebwabebwa tu... Hamna kitu humoo... Hamna kitu anajua..
Wakati ule ambao nusu ya baraza la mawaziri walikuwa wanatokea Arusha, Kilmanjaro na Manyara ilikuwa zamu ya nani ?Zamu ya Tanga na Zanzibar
Huu ndio mtazo wa kijinga tunao uendeleza.Kwani Waziri wa Tanzania ana kazi gani ya ajabu hata FA ashindwe..
Ujinga ni mfumo... Pambana na mfumo kwanza na KATIBA mbovu.. kuliko kumuandama mtu asiye na hatia..Huu ndio mtazo wa kijinga tunao uendeleza.
Ili uelewe vizuri, kama huwezi kuona mbali, uteuzi huu ni kama kuweka choo cha kuchutama katika hoteli ya kitalii.Wewe uliyeleta uzi utuelezee why not FA ukiweka na points zako, zikieleweka tutakuelewa, vinginevyo ni majungu..
Tatizo tunachukulia Uongozi kama zawadi. We badly need Leaders not Politicians with zero visionTuna set very low standards kwa calibre ya uongozi wa juu karne hii.
Acha dharau mkuu...Ili uelewe vizuri, kama huwezi kuona mbali, uteuzi huu ni kama kuweza choo cha kuchutama katika hoteli ya kitalii.
Acha matusiPoliticians with zero vision
hili jambo nalisema hapa kila siku watu wananiona The unpaid Seller siwapendi wanawake ila ukweli uko wazi uwezo wa mwanamke katika kuchanganua na kupambanua na kufanya logical decision mwanamke ni mdogo zaidi ya robo kwa mwanaume. Mama yenu hisia zikimtuma kulia unaweza kushangaa akamteua Shilole kuwa waziri mkuu au akamteua Masanja kua Speaker wa Bunge la Jamuhuri ndio wanawake hao. Mkiambiwa jukumu la wanawake ni kulea mnavuja povuBangi itaanza kuvutwa wizarani sasa
Bado babu tale.
Mama amepuyanga
Kweli mwanamke nimmwanamke tu
We unaichukulia kama dharau, wengine tuaichukulia kama lack of vision and standards.Acha dharau mkuu...
Ni yupi huyo mwanaFA, mkuu 'Jidu'?Uteuzi wa mediocre personalities sasa umezidi!
Sina la kuongeza ila mama umeingia kwenye mtego wa maono wananchi tusiyoyajua.