Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

Very interesting!

Hivi mteuzi anayo 'background' gani ya kutaka kumtegemea awe tofauti na anayofanya?

Mbona tunajisahaulisha haraka kiasi hiki? Mara hii tunamwona na kumtegemea mteuzi awe ni tofauti sana na hao anaowateua?
Umenifurahisha sana. Umemaliza!
 
Mwigulu yule ni profession finance minister, yuko pale hadi 2040,,.
Biteco nae madini hatoki,
Bashungwa sasa ndo usiseme, hadi 2050.
January, nape,bashe,, yaani hao hata msiumize mioyo bure,,
Hakuna sababu ya kutoa hao kwasasa.
Kwamba wao ni miungu?
 
Wacha fikra hasi na za kimila kuhusu gender maana naamini huna biological evidence! Vinginevyo kuwa scientific kwa kuleta evidences. Uwezo wa uongozi hautokani na uanamke na uanaume. #Jadili leadership siyo mwanamke na mwanamme. πŸ™πŸ™πŸ™
 
Mwana FA msomi aliyepata shahada ya uzamili Uingereza na shahada ya kwanza IFM na Mbunge wa Muheza kwa nini asiwe naibu waziri. Acheni dharau pengine huna cv kama yake bado unamdharau
 

FA anatofauti gani na hao akina Ridhiwani? Bado mnaamini mziki ni uhuni Karne hii?

Mnataka sura zilezile ziwe zinahamishwa tu?

Akina Mulamula mliupamba uteuzi wao humu,hakula round akatemwa licha ya mapambio kibao.
 
Mwana FA msomi aliyepata shahada ya uzamili Uingereza na shahada ya kwanza IFM na Mbunge wa Muheza kwa nini asiwe naibu waziri. Acheni dharau pengine huna cv kama yake bado unamdharau
Ka reply kwa comment husika. Hapa kwangu umeenda Opp# Asante sana kuwasaidia wasiomjua Mwana FA na wanaobeza mamlaka ya uteuzi.πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…