Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

Mwigulu yule ni profession finance minister, yuko pale hadi 2040,,.
Biteco nae madini hatoki,
Bashungwa sasa ndo usiseme, hadi 2050.
January, nape,bashe,, yaani hao hata msiumize mioyo bure,,
Hakuna sababu ya kutoa hao kwasasa.
Kwamba wao ni miungu?
 
hili jambo nalisema hapa kila siku watu wananiona The unpaid Seller siwapendi wanawake ila ukweli uko wazi uwezo wa mwanamke katika kuchanganua na kupambanua na kufanya logical decision mwanamke ni mdogo zaidi ya robo kwa mwanaume. Mama yenu hisia zikimtuma kulia unaweza kushangaa akamteua Shilole kuwa waziri mkuu.
Wacha fikra hasi na za kimila kuhusu gender maana naamini huna biological evidence! Vinginevyo kuwa scientific kwa kuleta evidences. Uwezo wa uongozi hautokani na uanamke na uanaume. #Jadili leadership siyo mwanamke na mwanamme. 🙏🙏🙏
 
Wacha fikra hasi na za kimila kuhusu gender maana naamini huna biological evidence! Vinginevyo kuwa scientific kwa kuleta evidences. Uwezo wa uongozi hautokani na uanamke na uanaume. #Jadili leadership siyo mwanamke na mwanamme. [emoji120][emoji120][emoji120]
Mwana FA msomi aliyepata shahada ya uzamili Uingereza na shahada ya kwanza IFM na Mbunge wa Muheza kwa nini asiwe naibu waziri. Acheni dharau pengine huna cv kama yake bado unamdharau
 


FA anatofauti gani na hao akina Ridhiwani? Bado mnaamini mziki ni uhuni Karne hii?

Mnataka sura zilezile ziwe zinahamishwa tu?

Akina Mulamula mliupamba uteuzi wao humu,hakula round akatemwa licha ya mapambio kibao.
 
Mwana FA msomi aliyepata shahada ya uzamili Uingereza na shahada ya kwanza IFM na Mbunge wa Muheza kwa nini asiwe naibu waziri. Acheni dharau pengine huna cv kama yake bado unamdharau
Ka reply kwa comment husika. Hapa kwangu umeenda Opp# Asante sana kuwasaidia wasiomjua Mwana FA na wanaobeza mamlaka ya uteuzi.🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom