Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

Wanasemaga vijana wajiajiri mtaani, sasa na wao wakalibie wakajiajiri
 
Sawa,lakini baada ya SSH,,, Rais ajae ni central corridor,, Mwigulu lameck Nchemba,,
Hahahahaha Yani huyu Rais wa mawe aongoze nchi!??? Mimi nitakupa Papa wa roma
 
Acha uvivu wewe kama mchele gali nenda kalime au mnataka muambiwe makalimie meno??
we naye ni mjinga kama wajinga wengine tu.

kwa hio Watanzania wote 100% tuwe wakulima ?
 
Akikujibu ni tag mwamba

Naona umempiga maswali ta papo kwa papo

Ova
Kajibu bana... huyu jamaa kweli CHIZI

SIJUI KAANDIKA MWENYEWE, SIJUI KAANDIKIWA πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎ

NIMEMUIDHINISHA RASMI HUYU BWANA NI CHIZI NA POPOMA BAADA YA KUNIJIBU HAPO KWAMBA HUWA UNATAFUTWA NA KUSHUKURIWA NA TISS ETI ANAJIFANYAGA MNYARWANDA πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ KUNA WATU HUMU WANAHITAJI SPECIAL TREATMENT KUPONA MATATIZO YAO YA AKILI. WANAKUJA KUTAFUTIA SYMPATHY HUMU. ETI TISS WAMTAFUTE YEYE KUMSHUKURU πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎ

HANA ANACHOJUA KUHUSU TISS... NIMEAMINI TU HUYU BWANA NI CHIZI HUYU!
 
Acha kuchafua watu kwa chuki binafsi na za kuiga. Adui harithiwi... humjui Ridhwaan wala huna hadhi ya kumjua na kuzungumza nae. Acha maneno ya kuambiwa. FANYA KAZI KWA FAIDA BINAFSI NA MANUFAA YA FAMILIA NA NCHI.
 
Certificate ya Information Technology
Diploma ya Insurance
Masters

Kafikaje Masters wakati hana sifa zakusoma Masters???
Unaijua ADVANCED DIPLOMA?!

Kama huijui nenda kaisome kwa makini mtandaoni... ila kwa sasa haipo tena. Alisoma hiyo kisha akapata scholarship kwenda Reading, Uingereza akasoma masters chuo kinaitwa COVENTRY. Bahati nzuri alisoma na bwana mmoja mturuki na huwa anakuja sana bongo ana biashara zake na namfahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…