Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
Acha kukaza fuvu ndugu, hii wizara imekuwa na mambo mengi .. kuwa mama wa nyumbani unajua kupika sio kwamba unaeza fungua hostel ukaanza pika chakula cha watu mia. Ngoja tusubiri utendaji kazi wakeKama kasoma shida ipo wapi tatizo watu mkiwafahamu walikotokea wanapopata mafanikio mnaumia sana mnaona bora apate usiemjua ili uwe na Amani...
...Ndio Shughuli kubwa iliyobaki! Kila siku kuongelea Mikeka, sijui Watu watafanya Kazi saa ngapi! [emoji848][emoji848][emoji848]..Naona mama panga pangua kila mwezi...
Wakina Bashiru walikuwa sahihi.Mimi naona hata yeye Mwenyewe ajiondoe tu maana heleweki anachofaya.
Yupo kama nyoka haeleweki kalala au amekaa
Mkuu mtu yeyote aliepita chuo anaweza kufanya kitu chochote akipewa nafasi labda huyo mtu awe kilaza msitake kuyafanya maisha ni magumu mno mbona vilaza wengi tuu na wapo kwenye Wizara hizo kila kukicha mambo yale yale...Acha kukaza fuvu ndugu, hii wizara imekuwa na mambo mengi .. kuwa mama wa nyumbani unajua kupika sio kwamba unaeza fungua hostel ukaanza pika chakula cha watu mia. Ngoja tusubiri utendaji kazi wake
Kama sio mkulima tafuta hela ya kununua bidhaa kihalali sio kudhulumu wakulima Mjinga na mpumbavu ni wewe unaetegemea vya burewe naye ni mjinga kama wajinga wengine tu.
kwa hio Watanzania wote 100% tuwe wakulima ?
We mtaaalamu mbona umefunga pmUchawi wa ruangwa ni hatari na nusu,
Dada ni mtendaji mzuri na anajitahidi sana, alipambana sana mpaka kuwajengea watoto wa kike secondary huko Kisarawe.Jokate ni DC Bora? Kwa kuonekana sana kwenye TV? Au huo ubora umeupima kwenye nn?
wewe inaonekana ni mtoto wa mama bado unakula nyumbani so kubishana na wewe ni kupoteza muda maana unaona bei za vyakula zikishuka wakulima wanadhurumiwaKama sio mkulima tafuta hela ya kununua bidhaa kihalali sio kudhulumu wakulima Mjinga na mpumbavu ni wewe unaetegemea vya bure
Mashimba Ndaki ni msukuma +mkristu=sukuma gang.Uchawi upo,pole Mashimba.Naibu waziri wako aliitaka sana nafasi yako hatimae kaipata. Ni kama Ridhiwan alivyokuwa anaitaka nafasi ya Angela Mabula.