Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

Kwamba baada ya kuona zoezi la kutesa wafugaji na kupora mifugo yao haliwezekani bila kumtoa waziri anayejua thamani ya mifugo wameamua walete.

Walima nazi na maparachichi ili wamalizie kuua sekta ya mifugo siyo.


Hii haiwezi kuwa sawa hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…