HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Aendelee kulamba matakoLucas Mwashambwa kaambuli patupu pamoja na kukata viuno kote [emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aendelee kulamba matakoLucas Mwashambwa kaambuli patupu pamoja na kukata viuno kote [emoji1787]
Kwa hiyo nafasi ambayo mie naisemea ya uwaziri, hatastahili."Kupima upepo" na "kushangazwa" zinamaanisha kwamba hastahili na tutaumizwa.
Sijasema umesema hana uwezo.
Kazingua na PhD yakeDr Tale vipi jamani??
Mawaziri karibu wote ni ukanda wa pwani tu?Yaani mawaziri ni Tanga, Pwani, Zanzibar. Mikoa mingine mmoja mmoja sana.
Mara haina waziri, Simiyu haina waziri. Shinyanga sijui kama yupo, Geita sijui kama yupo.
Kwa mujibu wa maandishi yako mkuu.Kwa hiyo nafasi ambayo mie naisemea ya uwaziri, hatastahili.
Kuumizwa hata sizingumzii hilo.
Wengine MJIAJIRIWatoto wa vigogo wa zamani wanabadilishana ofisi tu dah maisha haya
Labda ndio majibu ya zile tuhuma...Hivi kweli kiongozi wa umeshutumiwa kuhusika na matendo machafu ambayo hatakubaliki katika jamii lakini bado unapewa tu uongozi
Silinde anatuhumiwa hivyo hafai kuendelea kuwepo katika ofisi ya umma, hii ni kulindana
Hatujapenda kwakweli ifike mahala tuwajibike, ndo maana unakuta matendo machafu yanafanywa na watendaji nchii hii lakini uwa zinafunikwa tu
Sio wote watapata bahati ya kulishwa keki ya Taifa, kwakuwa ni ndogo sana. Wengine wataila kwenye pilau na wengine watakosa sana.Watoto wa vigogo wa zamani wanabadilishana ofisi tu dah maisha haya