Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

Tumechoshwa na panga pangua ya kila siku, tunahitaji katiba mpya tuokoe na genge la mafisadi
Kupanga na kupangua apange mwingine then wewe ndiyo uchoke?
Katiba mpya ni muhimu hasa kwenye kumpunguzia Rais madaraka, kuzipa nguvu taasisi na huu ujinga wa kuwa na presidential appointees wengi ambao wanakosa hata nguvu za kumuwajibisha na kuondoa immunities za kijinga zinazowapa viburi viongozi.
 
Bora hivyo kuliko kuwa tapeli kama Magufuli aliyekuwa anafungua miradi na viwanda vilivyokuwepo , ili kusaka kiki za siasa za bei rahisi.
Kuwa mwanaume, acha taarabu. Wewe kila kukicha umekalia Mgaufuli..Magufuli...Magufuli, hata kwenye mada ambazo hatakiwi kuwekwa ni lazima umtaje tu.

Hapa Magufuli kafata nini sasa?

Ikatae hii mentality ya kifukara na kichawi kwenye maisha yako.
 
Kwa MwanaFA na Michezo / Sanaa sio mbaya tumpe muda after all hivi Vyeo ni more of a cosmetic kuliko utendaji hakuna kinachofanyika..., na Pengine ni kuharibu tu (refer Makamba na Nishati)
 
Back
Top Bottom