Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

Fanya kazi ndugu, Wahindi na Waarabu ndio kundi la waliofanikiwa zaidi kiuchumi na hawana hizo political representation, ukifanikiwa kiuchumi hiyo representation itakufuata kuja ku lobby yenyewe

Aliyekudanganya nani kwamba Wahindi na Waarabu hawana political representation? Wapersia na Wahindi wanapanga mpaka Baraza la Mawaziri na hata wanaamua nani awe raisi wa nchi na yupi aondolewe, Wahindi na Waarabu wanakopa fedha na wadhamini ni sisi Watanzania, Lodi zetu zinadhamini mikopo binafsi ya Wahindi unaelewa maana yake? Ni kwamba wakishindwa kulipa anayedaiwa ni Serikali na siyo Wapersia.

Amka!
 
IMG_8396.jpg

Ndugu mleta mada acha watu WALAMBE ASALI, zamu yenu itafika tu, muwe watulivu mkisubiria
 
Back
Top Bottom