mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Zelensky nae ni teja kama mwana FA.Watu mnashangaa mwana FA kuwa waziri mbona hamshangai zelensky comedian kawa rais huko Ukraine au wivu tu.
Mwana FA ni teja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zelensky nae ni teja kama mwana FA.Watu mnashangaa mwana FA kuwa waziri mbona hamshangai zelensky comedian kawa rais huko Ukraine au wivu tu.
Shida sio elimu yake shida ni bangi anazovuta adharaniMwana FA msomi aliyepata shahada ya uzamili Uingereza na shahada ya kwanza IFM na Mbunge wa Muheza kwa nini asiwe naibu waziri. Acheni dharau pengine huna cv kama yake bado unamdharau
Fanya kazi ndugu, Wahindi na Waarabu ndio kundi la waliofanikiwa zaidi kiuchumi na hawana hizo political representation, ukifanikiwa kiuchumi hiyo representation itakufuata kuja ku lobby yenyewe
Acha wivu wewe mamaMambo yanaenda kasi sanaaaa
Mwanafa waziri??
Amshukuru muiba kura awamu ile
Lkn kwani Mwana FA una shida gani kwani si msomi?Uteuzi wa mediocre personalities sasa umezidi!
Sina la kuongeza ila mama umeingia kwenye mtego wa maono wananchi tusiyoyajua.
Hakunaga Hamis fala by Dr KigwangallaNi yupi huyo mwanaFA, mkuu 'Jidu'?
Ni kwa kuwatendea haki wasomaji wa mada yako, ukaishia hapo kwenye mistari miwili, basi!
Ni msomi wa masters tena kutoka abroad. Au mziki unakuchanganya?Uteuzi wa mediocre personalities sasa umezidi!
Sina la kuongeza ila mama umeingia kwenye mtego wa maono wananchi tusiyoyajua.
Kwani Waziri wa Tanzania ana kazi gani ya ajabu hata FA ashindwe..
Watu wa JPM? Aliwaumba, aliwazaa au aliwaunda?Yaani watu wa JPM wanaondolewa tu wakae pembeni, sasa mzee Ndaki ana shida gani?
Kama namuona steve nyerere mzee wa kukusanya michango siku yake imevurugwa huko.. kwa huu uteuzi wa mwana FA..🤣🤣😅😆
Hamis kwa taarifa yako ni kijana msomi kapita Tanga Technical mbali ya kuwa msanii ni kiongozi mwenye kujielewa na atawasaidia sana wasanii hapo wizara ya utamaduni yani uteuzi wake hawajakosea kabisaa.
Leo Jokate ni Dc Bora kuliko Wengi Tu ..Watu waliponda uteuzi wa Jokate, Niki wa II, yule jamaa Wa Bongo muvi aliyepelekwa Kuwa DC rorya nadhan. Saiv Mwana FA. Wivu tu.
Ungejua kwanini nchi inafeli kwenye maendeleo na utawala wala usingeuliza, hao ndio krimu ya watanzania.Uteuzi wa mediocre personalities sasa umezidi!
Sina la kuongeza ila mama umeingia kwenye mtego wa maono wananchi tusiyoyajua.
Hongera kwake na familia yake+wasanii wenzakeKwa MwanaFa, Mama kafanya uteuzi Sahihi kabisa.
Jamaa anaijua sanaa vizuri, na ataisaidia sanaa kukua vizuri.