Mbeba Lawama
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 1,059
- 3,504
Hiv mnaijua cv ya mwanaFA au unaongea kwa mihemko tu ya kumwona chanel 5 akiwa na jins na tishet tulza kichwa mzee watu wako smart kulko uo wivu ulionao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika ni msomi mbobezi, ana degree ya IFM,Pia masters ya uingereza - Coventry. Yuko vyediHamis kwa taarifa yako ni kijana msomi kapita Tanga Technical mbali ya kuwa msanii ni kiongozi mwenye kujielewa na atawasaidia sana wasanii hapo wizara ya utamaduni yani uteuzi wake hawajakosea kabisaa.
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Mbowe anataka viongozi wote wachaguliwe kwa kura na wananchi, kuanzia DC, DMO, ofisa afya, mkuu wa mkoa, katibu wa masijala , etc binafsi naona ni wazo zuri,, hii itaruhusu hata mkuu wa wilaya kumvimbia Rais na hakuna kitu Rais atamfanya,,
Vilevile kutakua na chaguzi kila mwezi, kujaza nafasi,, demokrasia itakua[emoji23][emoji2369]
Nashangaa sanaVery interesting!
Hivi mteuzi anayo 'background' gani ya kutaka kumtegemea awe tofauti na anayofanya?
Mbona tunajisahaulisha haraka kiasi hiki? Mara hii tunamwona na kumtegemea mteuzi awe ni tofauti sana na hao anaowateua?
Mama sidhani kama anaelewa kuwa kuongeza watendaji kwa hizi teuzi zake kunaongeza government expenditure ambayo ni mzigo kwa wananchi!! Ndio maana kila leo mnaongeza tozo mnawaumiza wananchi.Kuna gharama assocaited na huu uteuzi? Kama hakuna aendelee tu kuteua.
Kuondolewa uwaziri siyo kuondolewa ubungeKama hana shida basi atumie uchapakazi wake akajiajiri
Kwanza mjue dogo yule ni chawa wa January na hutembelea mara kwa mara hapa kijijini kwetu Msoga hiyo ilikuwa hivyo hata kabla ya kuingia kwenye ubunge(building the bond) hiyo uncle yule kwake pia ni uncle, sasa imagine mshika mpini ni uncle yaani you can never go wrong there.Hamna kinachombeba ni timu msoga na ndugu yetu katika imaan
100%✓Nchi hii viongozi wanaotokana na imani au dini ya Kikristo ni makatili sana, angalia Kuanzia Nyerere, Mkapa hadi Magufuli. Sijui mapadre wao hawawafundishi upendo au ni roho zao mbaya tu .
Kwa upande wa hawa viongozi wanaofuata imani ya waarabu yaani uislamu wana upole sana na ni wazembe sana kushughulika na viongozi wa umma wanaokiuka miongozo na taratibu za utumishi wa umma, hawa viongozi kutoka dini ya majahazi wanaongoza kuwafumbia macho majitu yanayofanya ufisadi nchini, huko mbele tunahitaji Rais hasiye mkristu wala muislamu.
Tatizo CCM yote imeoza ni kubahatisha tu labda huyu hajaoza sana .Eeh,inaleta pressure kwa wateule,wafanye kazi
Kwanini mkuuNina hakika 100% Samia hamjui Mwana FA .
Yaan jina aloletewa, siku anamuapisha ndio atamjua, alaaah kumbe nmemchagua Mwana FA[emoji1787][emoji1787]
Sasa si bora wawe chawa wa Rais,, kuliko kuwa machawa wa maofisa utumishi?, Vyeo vitanunuliwa kama njugu, wewe huwajui wabongo,, The amount of Rushwa itakayotumika kupata uongozi will be biblical,,[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
Mpaka senior Judges au mwanasheria mkuu hawapaswi kuwa presidential appointees, rais anapaswa kuwa anaambiwa ukweli kama jahazi analipeleka mrama. Hii mambo ya watu kuteuliwa na rais ndiyo huwafanya wageuke machawa kwa kutokujiamini wakilinda vibarua vyao.
Walimchagua wajingaMbona magu alikua ana blast na mkamchagua kuwa rais?
Infact simfahamu, nipo tu na tumaini huenda labda akawa nafuu kuliko aliyekuwepo awali.Huyo Pinda ana lipi la maana? Mweupe tu
Watu walilalamika sana tu na Mwendakuzimu alikuwa akifanya upendeleo wa kiboya sana na huyu bi Urojo karudia yaleyale in reverse order, kwenye hili la upendeleo wa kiimani na kikanda wote ni walewale.halaf kwanini ndugu zetu mmeibeba hiyo kama agenda ..kipindi cha mwenda zake baraza la mawaziri na Makatibu wa kuu musilam unatafuta kwa tochi ila hakuna aliekua akilalamika ..msiwe Ivo ndugu zetu hii inchi ni yetu sote..twende na jina tanzania