Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

Mbowe anataka viongozi wote wachaguliwe kwa kura na wananchi, kuanzia DC, DMO, ofisa afya, mkuu wa mkoa, katibu wa masijala , etc binafsi naona ni wazo zuri,, hii itaruhusu hata mkuu wa wilaya kumvimbia Rais na hakuna kitu Rais atamfanya,,
Vilevile kutakua na chaguzi kila mwezi, kujaza nafasi,, demokrasia itakua[emoji23][emoji2369]
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
Mpaka senior Judges au mwanasheria mkuu hawapaswi kuwa presidential appointees, rais anapaswa kuwa anaambiwa ukweli kama jahazi analipeleka mrama. Hii mambo ya watu kuteuliwa na rais ndiyo huwafanya wageuke machawa kwa kutokujiamini wakilinda vibarua vyao.
 
Mna wivu tu.kwan unamuona hamis mwinjuma sio msom ama? Tena bora maana hana ushamba wa vitu huenda akapiga kaz vibaya.na akaleta mawazo chanya ya kisasa ya vijana.acheni kukarir kwamba wazeeer lazima awe mzee ana kitambi na kusinzia
Anagalia bunge la eu.
 
Kuna gharama assocaited na huu uteuzi? Kama hakuna aendelee tu kuteua.
Mama sidhani kama anaelewa kuwa kuongeza watendaji kwa hizi teuzi zake kunaongeza government expenditure ambayo ni mzigo kwa wananchi!! Ndio maana kila leo mnaongeza tozo mnawaumiza wananchi.
 
Mwana FA,
Inawezekana jina lake na tunavyomfahamu ni kitu au mtu mdogo sana kwenye uso wa maendeleo ya nchi.
Ila kuwekwa nafasi hiyo. Na kwa jinsi miaka kumi hii hiyo nafasi ilivyochezwa na viongozi walioikaimu.
Mwana FA anafaa. Hiyo nafasi ina muhitaji mwanapropaganda, ambaye atapata greda na kuchimba njia kwa tasnia hizo za tamaduni sanaa na michezo.
Ndugu huyu ataweza. Muacheni achambue mafile vizuri akiwa nyumbani kwake goba mtaona.
 
Hamna kinachombeba ni timu msoga na ndugu yetu katika imaan
Kwanza mjue dogo yule ni chawa wa January na hutembelea mara kwa mara hapa kijijini kwetu Msoga hiyo ilikuwa hivyo hata kabla ya kuingia kwenye ubunge(building the bond) hiyo uncle yule kwake pia ni uncle, sasa imagine mshika mpini ni uncle yaani you can never go wrong there.
 
Nchi hii viongozi wanaotokana na imani au dini ya Kikristo ni makatili sana, angalia Kuanzia Nyerere, Mkapa hadi Magufuli. Sijui mapadre wao hawawafundishi upendo au ni roho zao mbaya tu .

Kwa upande wa hawa viongozi wanaofuata imani ya waarabu yaani uislamu wana upole sana na ni wazembe sana kushughulika na viongozi wa umma wanaokiuka miongozo na taratibu za utumishi wa umma, hawa viongozi kutoka dini ya majahazi wanaongoza kuwafumbia macho majitu yanayofanya ufisadi nchini, huko mbele tunahitaji Rais hasiye mkristu wala muislamu.
100%✓
 
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
Mpaka senior Judges au mwanasheria mkuu hawapaswi kuwa presidential appointees, rais anapaswa kuwa anaambiwa ukweli kama jahazi analipeleka mrama. Hii mambo ya watu kuteuliwa na rais ndiyo huwafanya wageuke machawa kwa kutokujiamini wakilinda vibarua vyao.
Sasa si bora wawe chawa wa Rais,, kuliko kuwa machawa wa maofisa utumishi?, Vyeo vitanunuliwa kama njugu, wewe huwajui wabongo,, The amount of Rushwa itakayotumika kupata uongozi will be biblical,,
Hakuna masikini atapata cheo, pesa itaongea,, haijalishi hata wakichaguliwa na jopo la wazee wa kibosho😁,
Mbaya zaidi hawatawajibika kwa Rais, maana hakuwateua, kwa kuwa walinunua kazi, wakichaguliwa lazima wajilipe, na Rais atakuwa powerless, maana hakuwateua,,
Nchi itadumbukia kwenye lindi la mchanganyiko, na hatimae kila mkoa utaanza kujitangazia uhuru, nchi itameguka😁
 
halaf kwanini ndugu zetu mmeibeba hiyo kama agenda ..kipindi cha mwenda zake baraza la mawaziri na Makatibu wa kuu musilam unatafuta kwa tochi ila hakuna aliekua akilalamika ..msiwe Ivo ndugu zetu hii inchi ni yetu sote..twende na jina tanzania
Watu walilalamika sana tu na Mwendakuzimu alikuwa akifanya upendeleo wa kiboya sana na huyu bi Urojo karudia yaleyale in reverse order, kwenye hili la upendeleo wa kiimani na kikanda wote ni walewale.
Sometimes kila kiongozi anataka kuwa na timu anayoiamini kwa dhati kuwa ni timu yake yaani asiwe na snitches among his/her team.
 
Back
Top Bottom