Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Hamduni-TAKUKURU, Makala-Dar, Kafulila-Arusha, Chalamila-Mwanza, Sendiga-Iringa, Makongoro...

Safi kazi iendelee,Mtaka Dodoma itazidi kung'ara,Mwanza imepata mchapakazi ,Mbeya Homera ni mtu sahihi kabisa,Japo Dar Adam Malima alikuwa sahihi sana hataki mchezo na wanorudisha maendeleo nyuma na mkali sana kwenye kusimamia miradi ya maendelea na kuhakikisha taratibu zinafuatwa, hongera kwa Mh.Raisi wateule ni wenyewe kabisa tunaimani nao.
 
Hapi kupelekwa Tabora hiyo yellow card ana mdomo mchafu mabega yalianza kidogo kupanda ila bado mdogo ana nafasi ya kujifunza maana hujui kesho ikoje hasa katika nafasi za uteuzi na siasa kwa ujumla.
Kwanini Tabora iwe yellow kadi? Unaichukulisje Tabora?!
Sioni tatizo la Hapi Mimi binafsi...huyu dogo atafika mbali Sana...anaweza hata akawa PM baadaye...
 
Mabadiliko ni kwa makongoro na Makala na mkuu mpya wa mkoa wa kilimanjaro. Pia qkwa mama Queen Sengija. Hayo mengine ni kuhamisha tu.

Kazi iendelee.
 
Mkuu wewe ni Muhenga!! Kumbe tunatukanana na baba zetu humu bila kujua, kuanzia leo nitakuheshimu sana.
 
everything anafanya rais ni kupinga. kama angekuwa mtu wa kufanya ili apate sifa..angesha teua safu ya mpya muda mrefu sana.
lakin hakurupuka kachukua muda kafanya maamuzi.
 
Hongera Mama kwa Kuizindua Ikulu ya Jamuhuri ya Muungano Tunguu Zanzibar.
Hakuna Raisi yeyote aliyewahi kuifanyia kazi Ikuluhii kwa Uteuzi mkubwa kama Huu.
Edi Mubaarak Raisi wangu Mzalendo Mwana wa Zanzibari
Karibu Urojo na Vileja Hapa Mwembe Tanga.

Shurba pia ipo leo jioni wenye futari ya mfungo wa Sita.
Ukiniahidi kujanitakuchinjia Mbuzi wawili wa Mtibe nyama Laini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…