Godo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 1,089
- 1,468
Safi kazi iendelee,Mtaka Dodoma itazidi kung'ara,Mwanza imepata mchapakazi ,Mbeya Homera ni mtu sahihi kabisa,Japo Dar Adam Malima alikuwa sahihi sana hataki mchezo na wanorudisha maendeleo nyuma na mkali sana kwenye kusimamia miradi ya maendelea na kuhakikisha taratibu zinafuatwa, hongera kwa Mh.Raisi wateule ni wenyewe kabisa tunaimani nao.