Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Hamduni-TAKUKURU, Makala-Dar, Kafulila-Arusha, Chalamila-Mwanza, Sendiga-Iringa, Makongoro...

Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Hamduni-TAKUKURU, Makala-Dar, Kafulila-Arusha, Chalamila-Mwanza, Sendiga-Iringa, Makongoro...

Safi kazi iendelee,Mtaka Dodoma itazidi kung'ara,Mwanza imepata mchapakazi ,Mbeya Homera ni mtu sahihi kabisa,Japo Dar Adam Malima alikuwa sahihi sana hataki mchezo na wanorudisha maendeleo nyuma na mkali sana kwenye kusimamia miradi ya maendelea na kuhakikisha taratibu zinafuatwa, hongera kwa Mh.Raisi wateule ni wenyewe kabisa tunaimani nao.
 
Hapi kupelekwa Tabora hiyo yellow card ana mdomo mchafu mabega yalianza kidogo kupanda ila bado mdogo ana nafasi ya kujifunza maana hujui kesho ikoje hasa katika nafasi za uteuzi na siasa kwa ujumla.
Kwanini Tabora iwe yellow kadi? Unaichukulisje Tabora?!
Sioni tatizo la Hapi Mimi binafsi...huyu dogo atafika mbali Sana...anaweza hata akawa PM baadaye...
 
Mabadiliko ni kwa makongoro na Makala na mkuu mpya wa mkoa wa kilimanjaro. Pia qkwa mama Queen Sengija. Hayo mengine ni kuhamisha tu.

Kazi iendelee.
 
Zile mechi za kila ijumaa siku hizi bado zipo?.

Miaka ile ya 1980 kulikuwa na timu kali sana pale, wenyewe tulikuwa tunasema timu ya wazungu, mabalozi na wataalam wa kigeni waliunda booonge la team ikawa inacheza na timu za ilala, temeke na kinondoni.

Maveterani wa kinondoni kina Isihaka Hassan, Moshi Majungu, Dennis Mdoe, Adolph Rishard walikuwa na timu yao basi ni burudani ya maana tulikuwa tunaipata kila ijumaa.

Siku moja Pazi Ally alipigana na beki wa gymkhana mechi ikaisha muda huo huo.

Marehemu Mussa Kihwelo kaka yake Jamhuri alikuja siku moja pia.

Those were good days.
Mkuu wewe ni Muhenga!! Kumbe tunatukanana na baba zetu humu bila kujua, kuanzia leo nitakuheshimu sana.
 
Mama ilimradi tu afanye lolote aongolewe kwa miaka watu walikuwa wanalalama kubadilisha badilisha wakuu wa mikoa na wilaya kunaondoa consistencies ndio maana Magufuli aliwaacha.

Hao watu kwa muda waliokaa wanafahamu changamoto za maeneo yao, plan zilizokuwepo na changamoto za watendaji wao.

Kingine Magufuli for once alijitahidi kuweka wakuu wa mikoa kutokana na maeneo wanayoyafahamu au skills zao ili watatue changamoto kutokana priority wanazozifahamu wao.
everything anafanya rais ni kupinga. kama angekuwa mtu wa kufanya ili apate sifa..angesha teua safu ya mpya muda mrefu sana.
lakin hakurupuka kachukua muda kafanya maamuzi.
 
Hongera Mama kwa Kuizindua Ikulu ya Jamuhuri ya Muungano Tunguu Zanzibar.
Hakuna Raisi yeyote aliyewahi kuifanyia kazi Ikuluhii kwa Uteuzi mkubwa kama Huu.
Edi Mubaarak Raisi wangu Mzalendo Mwana wa Zanzibari
Karibu Urojo na Vileja Hapa Mwembe Tanga.

Shurba pia ipo leo jioni wenye futari ya mfungo wa Sita.
Ukiniahidi kujanitakuchinjia Mbuzi wawili wa Mtibe nyama Laini.
 
Back
Top Bottom