Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Hamduni-TAKUKURU, Makala-Dar, Kafulila-Arusha, Chalamila-Mwanza, Sendiga-Iringa, Makongoro...

Pigania Katiba Mpya na utawala wa majimbo uchague mkuu wa mkoa unayemtaka. Kwa sasa kaa kwa kutulia tu mpaka atakapojisikia kumuondoa mwenyewe.
Kiukweli mwanza katukosea sana. Katuletea ule upara wa mbeya?
 
Kabla ya kuhamishiwa Manyara na Arusha...Makongoro na kafulila walikua wapi?!
 
hongera mama na wateuliwa wote.

simiyu itamumisi mtaka.
sijui ufaulu utaendelea?
shule za msingi na sekondari zitaendelea na makambi kama zamani?

john mongella atapaweza simiyu?
 
Takukuru na DPP walikuwa watoto mapacha na Mama yao alikuwa Task force ya kupora fedha za wafanyabiashara
Naona Kafulila na Makongoro wamekumbukwa!

Ally Hapi nae bado anakumbukwa!

Kulikoni Bosi wa TAKUKURU kupangiwa kazi nyingine!
 
Unataka akae miaka mingapi kwenye kituo kimoja ili akamilishe mipango yake?
Maana ndiyo kwanza mama ameanza kufanya mabadiliko na wengi wao wamekaa muda mrefu mkoa mmoja.
Wengine wamemaliza changamoto kwenye mikoa yao wanapelekwa maeneo mengine wakamalize changamoto kwenye maeneo mapya.
Natarajia Bw Martin Shigella atamaliza changamoto nyingi mkoani Morogoro, hususani uharibifu wa mazingira unaofanywa na idadi kubwa ya mifugo iliyoingizwa mkoani humo.
 
Raisi Samia tuletee makonda hapa Kilimanjaro amnyooshe mnywa konyagi na genge lake.
Jana mamio alikunywa gongo akaangusha gari wahuni wakafanya yao,ulimuona? Au wewe macho na matakle yote umemkabidhi mbowe?
 
Pale TAKUKURU HIVI HAKUNA WA KUFAA KUWA DG? mpaka watoke polisi Au jwtz? OK lakini HONGERA MAMA, WEWE NDIYE UWAJUAE WATU WAKO...

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Hujui utawala wa nchi hii.
Miondombinu ni kazi ya waziri, halmashauri na DED sio mkuu wa mkoa na wilaya.Hao ni wanasiasa tu kuhakikisha dola iliyopo inadumu.
 
Amesolve matatizo gani makubwa yaliyoacha alama kwa wananchi?
moja ya best RC ever. antony mtaka. tofauti na wengine he was smart, ana solve matatizo bila kelele mingi.
kupelekwa dodoma ni upgrade
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…