Mashavuuu.......ha ha haBora jamaa yangu kapeta maana alikua anashika mashavu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashavuuu.......ha ha haBora jamaa yangu kapeta maana alikua anashika mashavu tu
Ma Dc bado bhana.Teh teh sabaya katolewa kafara wenzake wanapeta tu[emoji28][emoji28]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Plan za Kisarawe zinawekwa na Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe na zinasimamiwa na DED sio Jokate anayeuza sura kwenye Marathon na kina Shilole.
Kuwa karibu na wananchi wako, uta okota mawili matatu yatakayo kusidia katika uongozi wako
Ana mgwilla Ameachwa.
amestaafu
Kiukweli mwanza katukosea sana. Katuletea ule upara wa mbeya?
Ana mgwilla Ameachwa.
Hizo ndo mbinu za sirikali kuingiza pesa mtaani kiongozi!Na kuwahamisha hawa wote ni gharamankubwa mno...unaweza kukuta kila mmoja analamba 20mil Re-allocation.
Ana Ngwira ana miaka 62 kama ya makongoro Nyerere ambaye kateulia kuwa RC
Naona Kafulila na Makongoro wamekumbukwa!
Ally Hapi nae bado anakumbukwa!
Kulikoni Bosi wa TAKUKURU kupangiwa kazi nyingine!
Unataka akae miaka mingapi kwenye kituo kimoja ili akamilishe mipango yake?Nipate tabu ya nini, kubadilisha badilisha watu kunaondoa consistency.
Chukulia mtu kama Jokate ana plan zake kibao Kisarawe kesho umtoe umpleke sijui Rukwa si anaenda kuanza upya tena, huyo atakaenda huko ataendeleza legacy zake?
Kubadilisha badilisha watu vituo vya kazi ni mambo ya kishamba tu.
Jana mamio alikunywa gongo akaangusha gari wahuni wakafanya yao,ulimuona? Au wewe macho na matakle yote umemkabidhi mbowe?Raisi Samia tuletee makonda hapa Kilimanjaro amnyooshe mnywa konyagi na genge lake.
Pale TAKUKURU HIVI HAKUNA WA KUFAA KUWA DG? mpaka watoke polisi Au jwtz? OK lakini HONGERA MAMA, WEWE NDIYE UWAJUAE WATU WAKO...Salaam Wakuu, Huu ndo uteuzi rais kafanya.
Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Bw. Mwakitalu kuwa Mkurugenzi wa Mashitaka(DPP), Hamduni Mkuu wa TAKUKURU, Amos Makala kawa mkuu wa Mkoa wa Dar, Kafulila kawa mkuu wa Mkoa Arusha, Chalamila kawa mkuu wa Mkoa Mwanza, Queen Sendiga kawa mkuu wa Mkoa Iringa(Queen alikuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) Uchaguzi wa Oktoba 2020), Makongoro Nyerere kawa mkuu wa Mkoa Manyara.
Chalamila kawa mkuu wa Mkoa Mwanza(Albert Chalamila alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya), Kunenge kawa mkuu wa Mkoa wa Pwani( Aboubakar Kunenge alikuwa Mmkuu wa Mkoa wa Dar), Kagaigai kawa mkuu wa Mkoa KIlimanjaro(Stephen Kagaigai alikuwa Katibu wa Bunge), Ali Hapi kawa mkuu wa Mkoa Tabora(Hapi alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa). Anna Mngwira amesitaafu alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Brigedia Jenerali John Mbungo atapangiwa kazi nyingine.
View attachment 1785850
View attachment 1785846
View attachment 1785849
Nenda kawaulize wakuu wa mikoa mingine ni namna gani Mtaka aliweza kuwekeza kwenye miundombinu Simiyu mpaka wakawa wanaenda kuomba ushauri kwake.
Tazama Kisarawe inavyoanza kupata attention siku hizi ambazo azikuwepo, kawaulize wafugaji sikuhizi kupeleka mifugo Ruaha mbugani upande wa Mbeya chini ya Chalamila kama ni jambo la busara.
moja ya best RC ever. antony mtaka. tofauti na wengine he was smart, ana solve matatizo bila kelele mingi.
kupelekwa dodoma ni upgrade
Kilimanjaro moja huyoooMAKONDA imekuwaje tena? Huyu mama veepee? DAH!