Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Hamduni-TAKUKURU, Makala-Dar, Kafulila-Arusha, Chalamila-Mwanza, Sendiga-Iringa, Makongoro...

Mpeleka mkeka wa maDC kwa mama usisahau jina langu liweke katikati ya mkeka
 
Wakuu wawili waliopita mkoa wa Morogoro wote wameshindwa kutatua changamoto kadhaa za mkoa huo.
Nina imani na Martin Shigella.
Mabadiliko ni lazima.
 
Amos Makalla ni mtu mzuri aliondolea kwa misimamo yake tu history ya mtu inakufuata unakoenda alifanyiwa fitna nyingi lakini alikaa kimyaa tu.
Umenena vyema maana nilishawai kutana nae mara mbili wakat tuna fanya finishing nyumba yake maeneo ya bunju ,chini kule kama waenda chuo cha kodi , mtu poa sana
 
Mwaka huu mtajinyonga.

Ukiwauliza watu Chalamila kosa lake ni nini hawana majibu ila wanataka tu atoke, chuki binafsi.
Mtu mwingine anashupaa misuli ya shingo eti ali hapi apigwe chini, mijitu mingine ina wivu sana. Sababu haina!
Ukiona wapinzani wanakuchukia ujue unafanya kitu sahihi. Aly Hapi ni mmoja wa vijana hodari.
 
Hamdun anaandaliwa kuwa IGP,pia Mbugo atapewa mkuu wa JKT time will tell
 
Anna Mngwira namkubali sana yule mama, ingependeza akapewa kazi nyingine
 
Mwaka huu mtajinyonga.

Ukiwauliza watu Chalamila kosa lake ni nini hawana majibu ila wanataka tu atoke, chuki binafsi.
Ni mdanganyifu, alitudanganya taifa zima kuwa ameongea na mwenda zake kwa simu na kuwa yupo fiti ana chapa kazi,wakati kumbe mtu anapigania roho yake! huo kweli ni uungwana? kesho yake tukaambiwa na mama mwenda zake kishaondoka,toka siku hiyo alinyea kanzu.
 
Tunaamia huku baada ya sekeseke la juzi kati. Asante Mheshimiwa Rais. Hongera na kongole wateuliwa. Kazi iendelee.
 
Pole, it’s a new regime
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…