Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Hamduni-TAKUKURU, Makala-Dar, Kafulila-Arusha, Chalamila-Mwanza, Sendiga-Iringa, Makongoro...

Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Hamduni-TAKUKURU, Makala-Dar, Kafulila-Arusha, Chalamila-Mwanza, Sendiga-Iringa, Makongoro...

Mpeleka mkeka wa maDC kwa mama usisahau jina langu liweke katikati ya mkeka
 
Naunga mkono hoja sioni mantiki ya kubadilsha kituo sababu kama anafaa basi wananchi wa mkoa huo wanastahili huyo mtu sio mkoa mwingine kama hafai nikuweka mtu mwingine tu sio leo yuko hapa kesho yuko pale mimi sielewi sababu. Huwezi kuwa mkuu wa mkoa mzuri tu mfano Moro halafu kesho unapelekwa Iringa je watu wa Moro hawastahili kuwa na mtu mzuri. Mimi nadhani either your IN or Out. Naunga hoja ni ushamba.
Wakuu wawili waliopita mkoa wa Morogoro wote wameshindwa kutatua changamoto kadhaa za mkoa huo.
Nina imani na Martin Shigella.
Mabadiliko ni lazima.
 
Amos Makalla ni mtu mzuri aliondolea kwa misimamo yake tu history ya mtu inakufuata unakoenda alifanyiwa fitna nyingi lakini alikaa kimyaa tu.
Umenena vyema maana nilishawai kutana nae mara mbili wakat tuna fanya finishing nyumba yake maeneo ya bunju ,chini kule kama waenda chuo cha kodi , mtu poa sana
 
Mwaka huu mtajinyonga.

Ukiwauliza watu Chalamila kosa lake ni nini hawana majibu ila wanataka tu atoke, chuki binafsi.
Mtu mwingine anashupaa misuli ya shingo eti ali hapi apigwe chini, mijitu mingine ina wivu sana. Sababu haina!
Ukiona wapinzani wanakuchukia ujue unafanya kitu sahihi. Aly Hapi ni mmoja wa vijana hodari.
 
Anna Mngwira namkubali sana yule mama, ingependeza akapewa kazi nyingine
 
Mwaka huu mtajinyonga.

Ukiwauliza watu Chalamila kosa lake ni nini hawana majibu ila wanataka tu atoke, chuki binafsi.
Ni mdanganyifu, alitudanganya taifa zima kuwa ameongea na mwenda zake kwa simu na kuwa yupo fiti ana chapa kazi,wakati kumbe mtu anapigania roho yake! huo kweli ni uungwana? kesho yake tukaambiwa na mama mwenda zake kishaondoka,toka siku hiyo alinyea kanzu.
 
Tunaamia huku baada ya sekeseke la juzi kati. Asante Mheshimiwa Rais. Hongera na kongole wateuliwa. Kazi iendelee.
 
Nipate tabu ya nini, kubadilisha badilisha watu kunaondoa consistency.

Chukulia mtu kama Jokate ana plan zake kibao Kisarawe kesho umtoe umpleke sijui Rukwa si anaenda kuanza upya tena, huyo atakaenda huko ataendeleza legacy zake?

Kubadilisha badilisha watu vituo vya kazi ni mambo ya kishamba tu.
Pole, it’s a new regime
 
Back
Top Bottom