Elisha Sarikiel
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 905
- 1,540
Wanyakaya wanazidi kupeta awamu ya Rais Samia ! Kwani Spika Job anasemaje ?Hahahaahaa sasa pale Bungeni Spika agwe na Katibu wa Bunge huyu mama Nenelwa Agwe naeView attachment 1785914
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanyakaya wanazidi kupeta awamu ya Rais Samia ! Kwani Spika Job anasemaje ?Hahahaahaa sasa pale Bungeni Spika agwe na Katibu wa Bunge huyu mama Nenelwa Agwe naeView attachment 1785914
Mtaka kaja Jijini,Dodoma capitalAmos Makalla amerudishwa ulingoni,
Mtaka sijamuona.
Karibu Dar mh Makalla
Wakuu wawili waliopita mkoa wa Morogoro wote wameshindwa kutatua changamoto kadhaa za mkoa huo.Naunga mkono hoja sioni mantiki ya kubadilsha kituo sababu kama anafaa basi wananchi wa mkoa huo wanastahili huyo mtu sio mkoa mwingine kama hafai nikuweka mtu mwingine tu sio leo yuko hapa kesho yuko pale mimi sielewi sababu. Huwezi kuwa mkuu wa mkoa mzuri tu mfano Moro halafu kesho unapelekwa Iringa je watu wa Moro hawastahili kuwa na mtu mzuri. Mimi nadhani either your IN or Out. Naunga hoja ni ushamba.
Umenena vyema maana nilishawai kutana nae mara mbili wakat tuna fanya finishing nyumba yake maeneo ya bunju ,chini kule kama waenda chuo cha kodi , mtu poa sanaAmos Makalla ni mtu mzuri aliondolea kwa misimamo yake tu history ya mtu inakufuata unakoenda alifanyiwa fitna nyingi lakini alikaa kimyaa tu.
Kuchunguza mikakati ya Uchaguzi ya Chadema ndio unasema hawaingilikia?Kabisa kwasababu hawaingiliki kabisa na ni watu wa kunyoosha.
Mtu mwingine anashupaa misuli ya shingo eti ali hapi apigwe chini, mijitu mingine ina wivu sana. Sababu haina!Mwaka huu mtajinyonga.
Ukiwauliza watu Chalamila kosa lake ni nini hawana majibu ila wanataka tu atoke, chuki binafsi.
Ndio maana nikasema Magufuli wasn’t perfect.
Mbona kamteua yule wa ADC kuwa mkuu wa mkoa Iringa? Au Hadi uone Mbowe ndo useme kateua wapinzani?Alisema atateua mpaka Wapinzani, Kulikoni ¿
Ni mdanganyifu, alitudanganya taifa zima kuwa ameongea na mwenda zake kwa simu na kuwa yupo fiti ana chapa kazi,wakati kumbe mtu anapigania roho yake! huo kweli ni uungwana? kesho yake tukaambiwa na mama mwenda zake kishaondoka,toka siku hiyo alinyea kanzu.Mwaka huu mtajinyonga.
Ukiwauliza watu Chalamila kosa lake ni nini hawana majibu ila wanataka tu atoke, chuki binafsi.
Ana mgwilla Ameachwa.
amestaafu
Kuna kustaafu, kupangiwa kazi nyingine, na kutenguliwa!!! Sijui kwenye Likert Scale zinakaaje hizi factors!Anna Mngwira namkubali sana yule mama, ingependeza akapewa kazi nyingine
Hizi teuzi za RC wanawake siwaoni kabisa[emoji848][emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Pole, it’s a new regimeNipate tabu ya nini, kubadilisha badilisha watu kunaondoa consistency.
Chukulia mtu kama Jokate ana plan zake kibao Kisarawe kesho umtoe umpleke sijui Rukwa si anaenda kuanza upya tena, huyo atakaenda huko ataendeleza legacy zake?
Kubadilisha badilisha watu vituo vya kazi ni mambo ya kishamba tu.