Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Hamduni-TAKUKURU, Makala-Dar, Kafulila-Arusha, Chalamila-Mwanza, Sendiga-Iringa, Makongoro...

Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Hamduni-TAKUKURU, Makala-Dar, Kafulila-Arusha, Chalamila-Mwanza, Sendiga-Iringa, Makongoro...

Kwahiyo kama mtu ana plan zake nzuri zenye manufaa na zishaanza kuzaa matunda kuna dhambi gani akipelekwa sehemu nyingine akawanufaishe huko?
Kama Jokate ashafanya kitu kizur pale Kisarawe na kishaonekana ushamba uko wapi ukimpeleka Kakonko akafanye kama alivyofanya Kisarawe kama ni maendeleo?
Unaondoa consistency utendaji kazi unakuwa imara zaidi watu wanapoanza kuelewa strength na weakness za wenzao, tabia za wenzao ili wasikwaruzane na waende vipi pamoja kupanga mipango yao ya muda mrefu.

Nina uhakika Mtaka alikuwa bado na plan zake kibao Simiyu au Chalamila na vita vyake na wafugaji kuingia mbugani Mbeya.

Unawabadilisha wanaenda kuanza na vipaumbele vipya, hiyo inaondoa consistency kwenye kazi na priority za maeneo.

Chukulia mtu kama Jokate na plan zake za kuifanya Kisarawe ichangamke mtu atakaefuata si anaenda achana na plan yote.
 
MAKONDA imekuwaje tena? Huyu mama veepee? DAH!
Hapi ni kama adhabu ndogo toka Iringa kwenda Tabora ni yaleyale kuna baadhi ya mikoa inachukuliwa kama adhabu fulani hivi yule wa Simiyu kapelekwa makao makuu kama cheo hivi japo tutasema yote mikoa lakini ukweli baadhi ya mikoa inachukulia kama yellow card.
 
Huyo Queen Sendiga anakwenda kukutana uso kwa uso na waliomchapa makofi wakati wa kampeni

Mgombea Urais wa Chama cha ADC, Queen Sendiga amedai kupigwa makofi na watu wasiojulikana na kuvunjiwa kioo cha gari lake akiwa maeneo ya stendi kuu ya zamani ya Manispaa ya Iringa akiendelea na Kampeni.
Amesema tukio hilo lilitokea jana majira ya saa 10 jioni wakati akielekea katika viwanja vya Stendi kuu ya zamani ya Mabasi yaendayo Mikoani eneo ambalo pia, CCM walikuwa na mkutano wa Mgombea Udiwani wa Kata ya Kitanzini Miyomboni.
Ameshangazwa na kusikitishwa na tukio la vijana kuvamia gari lake la matangazo na kuvunja kioo cha mbele cha gari hilo na wengine kumzingira na kumpiga makofi wakati akihoji
sendiga.jpg
sababu ya gari lake kuvunjwa kioo.
 
Mwambie ajie Dar Gymkhana club over 40 tunacheza kila Jumanne na Alhamisi.Tulikuwa na Striker hatari Mhe.Masauni siku hizi simuoni!
Zile mechi za kila ijumaa siku hizi bado zipo?.

Miaka ile ya 1980 kulikuwa na timu kali sana pale, wenyewe tulikuwa tunasema timu ya wazungu, mabalozi na wataalam wa kigeni waliunda booonge la team ikawa inacheza na timu za ilala, temeke na kinondoni.

Maveterani wa kinondoni kina Isihaka Hassan, Moshi Majungu, Dennis Mdoe, Adolph Rishard walikuwa na timu yao basi ni burudani ya maana tulikuwa tunaipata kila ijumaa.

Siku moja Pazi Ally alipigana na beki wa gymkhana mechi ikaisha muda huo huo.

Marehemu Mussa Kihwelo kaka yake Jamhuri alikuja siku moja pia.

Those were good days.
 
Naunga mkono hoja sioni mantiki ya kubadilsha kituo sababu kama anafaa basi wananchi wa mkoa huo wanastahili huyo mtu sio mkoa mwingine kama hafai nikuweka mtu mwingine tu sio leo yuko hapa kesho yuko pale mimi sielewi sababu. Huwezi kuwa mkuu wa mkoa mzuri tu mfano Moro halafu kesho unapelekwa Iringa je watu wa Moro hawastahili kuwa na mtu mzuri. Mimi nadhani either your IN or Out. Naunga hoja ni ushamba.
Exactly ndio maana Magufuli alikuwa kama mtu hafai anatimua tu lakini abadili watu ovyo ovyo.
 
Back
Top Bottom