Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Hamduni-TAKUKURU, Makala-Dar, Kafulila-Arusha, Chalamila-Mwanza, Sendiga-Iringa, Makongoro...

Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Hamduni-TAKUKURU, Makala-Dar, Kafulila-Arusha, Chalamila-Mwanza, Sendiga-Iringa, Makongoro...

Mtaka aliyekuwa mkuu wa mkoa wa simiyu na Anna mkuu wa mko wa Kilimanjaro siwaoni wameachwa
 
Safiii, mbona jina la Mbowe na zitto sijaona? Na makada wengine wa cdm? Huhuhu
Kwa hiyo nao wanapenda kuwa CCM B?
Hapo zamani za kale katika zanziba CUF waliitwa CCM B kumbe nao wanpenda ila nafasi ndo hazipo.
 
Amos Makalla amerudishwa ulingoni,
Mtaka sijamuona.


Karibu Dar mh Makalla

Huyu namsikia bendi kadhaa za muziki wakimtaja 'Papaa Amos Makalla' kweli Dar es Salaam itachemka kwa maraha baada ya miaka mitano ya utawala wa mwendazake pamoja na Makonda kuua starehe za muziki jijini Dar.

Baada ya kazi sasa watu wataweza kula bata na ndivyo inavyoonekana ni desturi ya wana Dar toka enzi za Mwalimu Nyerere, historia inatuonesha / inathibitisha tukiiomba Google itupatie idadi za bendi za muziki na 'maukumbi' ya starehe ktk jiji la Dar na miji mingine kote Tanzania.
 
Changamoto changamoto zenyewe ni upinzani au sio?
Wala changamoto sio kupambana na upinzani kama unavyofikiria wewe.

Mtu kama Gaguta alipelekwa Bukoka kwa sababu ni mwanajeshi, kuna maeneo mengi ya mazoezi yao ambayo wananchi walikuwa wanavamia na kuna wafugaji wa nchi jirani walikuwa wanaingia sana kwenye mapori kulisha mifugo na kuuwa wananchi.

Tangia apelekwe Bukoka ulisikia wafugaji wa kinyarwanda wameua mtu huko?
 
Nipate tabu ya nini, kubadilisha badilisha watu kunaondoa consistency.

Chukulia mtu kama Jokate ana plan zake kibao Kisarawe kesho umtoe umpleke sijui Rukwa si anaenda kuanza upya tena, huyo atakaenda huko ataendeleza legacy zake?

Kubadilisha badilisha watu vituo vya kazi ni mambo ya kishamba tu.
Jibu swali umeulizwa "umeukalia ukiwa wapi" badala kujibu unalialia tuu kwanza cheo cha mkuu mkoa/wilaya havina maana yeyote ni kupeana ulaji tuu
 
Pisi kali ya ADC na twende kilioni yake kapeta,nilijua tu huyu alikuwa anatafuta nafasi kama hizi maana mikutano yake haikutofautiana na ya mzee wa ubwabwa.

Hongera yake hii chaguzi nimeipenda.
 
Back
Top Bottom