Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Amepandishwa Cheo Hivi Karibuni Ni Major GeneralNaona Kafulila na Makongoro wamekumbukwa!
Ally Hapi bado anakumbukwa!
Kulikoni Bosi wa TAKUKURU kupangiwa kazi nyingine!
Tungoje Tuone.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amepandishwa Cheo Hivi Karibuni Ni Major GeneralNaona Kafulila na Makongoro wamekumbukwa!
Ally Hapi bado anakumbukwa!
Kulikoni Bosi wa TAKUKURU kupangiwa kazi nyingine!
Waliwaombea njaa Hapi na Chalamila wakidhani mama atawafurahisha kama alivyowafurahisha kwa Ole Sabaya wakajisahau zile shangwe kuwa zitamshtua mama,ukiona mbaya wako anashangilia maamuzi unayoyafanya jua kuna kasoro na hayo maamuzi.Chadema wameangukia pua tena.
Chama hiki kina laana
Atakua amejaribu kupotosha kwenye ile report ya uchunguzi pale BOTNaona Kafulila na Makongoro wamekumbukwa!
Ally Hapi bado anakumbukwa!
Kulikoni Bosi wa TAKUKURU kupangiwa kazi nyingine!
Wanajeshi huko wameanza kupelekwa hata kabla ya mwendazake mkuu....Toka enzi za kina Kanali Massawe pamoja na wilaya za Kigoma kule alikoenda kuharibikiwa MkisiWanyarwanda Ngara na Biharamuro waliifanya mali yao zama za JK. Kila siku walikuwa wanauwa watanzania huko na kuingiza mifugo kama kwao.
Magufuli akapiga stop huo upuuzi, watanzania tunasahau haraka sana changamoto zilizokuwa za kawaida katika baadhi ya maeneo kabla ya Magufuli.
Hawana vigezoSafiii, mbona jina la Mbowe na zitto sijaona? Na makada wengine wa cdm? Huhuhu
Na huyu wa sasa ni kama anavuka bahari au?Amepandishwa Cheo Hivi Karibuni Ni Major General
Tungoje Tuone.
Umeshau ccm ni ile ile.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan Mother Theresa kajua kuharibu kila kitu wallah, sasa happi na chalamila, wa nn hawa, na anaenda nao wapi? Aaaaaaah.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Nashangaa.Mama hafanyi kazi kwa kuelekezwa na wanharakati.waendelee kupiga kelele.mbona watumishi hawawatetei!
dodma huyoAmos Makalla amerudishwa ulingoni,
Mtaka sijamuona.
Karibu Dar mh Makalla
Hata kikwete hakuwa mwenzetu lakini hakukuwa na viroba vya maitiKwenda wapi?
Kwa hiyo kwa akili zenu mlifikiri Samia ni mwenzenu au?
Magufuli hakuwa perfect busara ni kuondoa yasiyofaa na kuiga yenye faida.Kula kiongozi na jeshi lake mwana,huwezi kuongoza kwa jeshi la mwengine.Huyu sio magu na wala haongozi kama magu.na waru kama nyie mnaotaka umagu uendelee inabidi mbadirike,sasa kama angeaacha kila kiongozi alipo alafu hao viongozi wakafa ingekuwaje?!.Sifa kubwa ya kiongozi ni kuweza kurithisha wengine anachofanya ili akiondoka aloyaacha yaendelee.Enzi za magu kila kitu ilikuwa ni yeye ndo maana alivoondoka watu wanachanganyikiwa,mwacheni mama apige kazi anavyoweza.
#kaziiendelee. Panga safu mama.
Kabisa!!Na huyu wa sasa ni kama anavuka bahari au?
Kweli kama ipo ipo tu Makala tulishaanza kumsahau,ila jamaa kama ni mganga kweli kampata ,akikosa huku anapelekwa kule akikosa kule anarudishwa huku. Kweli mtoto wa mujini ni wa mujini tu.Uteuzi wa Dar na Dodoma nimeupenda.
Mama ilimradi tu afanye lolote aongolewe kwa miaka watu walikuwa wanalalama kubadilisha badilisha wakuu wa mikoa na wilaya kunaondoa consistencies ndio maana Magufuli aliwaacha.
Hao watu kwa muda waliokaa wanafahamu changamoto za maeneo yao, plan zilizokuwepo na changamoto za watendaji wao.
Kingine Magufuli for once alijitahidi kuweka wakuu wa mikoa kutokana na maeneo wanayoyafahamu au skills zao ili watatue changamoto kutokana priority wanazozifahamu wao.
Hajawahi kuwa Rukwa. Alikua mbeya akapelekwa Katavi akashindwa kuuza vitambulisho vya wamachinga ndo kaenda Bench naona kakumbukwaAmos Makala alikuwa bench sio,
kitabo alikuwa Rukwa.
safi sana sasa apige kazi kweli kweli.
Mkoa wa Dar unataka mtu makini sana na mfuatiliaji, bila kusahau ukali ni muhimu inapo bidi.
nginja ngija......
Sugu alishawahi kumsifia MakalaKama ilikuwa ni amri kutoka juu basi hii dhambi haitamuandama.
Takukuru bado ni jipu. Bora amebadilishwaNaona Kafulila na Makongoro wamekumbukwa!
Ally Hapi bado anakumbukwa!
Kulikoni Bosi wa TAKUKURU kupangiwa kazi nyingine!