Rais Samia afanya ziara ya kushtukiza Kariakoo, Mbagala na Mwananyamala Jijini Dar

Rais Samia afanya ziara ya kushtukiza Kariakoo, Mbagala na Mwananyamala Jijini Dar

1622542487789.png
 
Hakuna cha kwenda taratibu wala nini kamanda, hebu eleza hivyo vitendo.
Ok, good angalia aina ya thread mnazopost wewe na MATAGA wenzako za kumkashifu Mama Samia, angalia hata kwenye thread hii, kuna Mouuzi anasema kwa Namna Mama Samia alivyomjibu Mkandarasi wa Ujenzi Mbagala inathibitisha kuwa hakuna Rais pale....je hii ni sahihi??
 
Hebu nionyeshe nilipopost nione? Kamanda wewe unga tu juhudi, usiogope hakuna atakayekudhuru.
 
Watu Wana macho lkn hawaoni.

Mjerumani alijenga reli Dar mpk Kigoma 1400km kwa miaka mitano kwa tecnolojia ya zaidi ya miaka Mia.

Leo hii kwa teknolojia ya Sasa reli Dar to Moro chini ya km 200 inachukua miaka zaidi mitano.

Zakuambiwa changanya na zako.
Mjerumani alitumia miaka 9 (1905-1914) kujenga reli ya kati (Dsm -Kigoma) wala siyo miaka mitano.
 
Hebu nionyeshe nilipopost nione? Kamanda wewe unga tu juhudi, usiogope hakuna atakayekudhuru.
Hahhaaha nikuonyeshe nini tena? Suala la Kumsapoti Mama Samia ni la kwetu sote na akikosea tutamkosoa tu, wala hili liko wazi. Kwa sasa Mama Samia ana upinzani mkubwa sana ndani ya CCM kwakuwa mmegoma kumkubali. Hii ni fact
 
Back
Top Bottom