Rais Samia afanya ziara ya kushtukiza Kariakoo, Mbagala na Mwananyamala Jijini Dar

Rais Samia afanya ziara ya kushtukiza Kariakoo, Mbagala na Mwananyamala Jijini Dar

Mama la Mama Mungu amjalie maisha marefu tulitishwa sana! na Bwana yule huku akitafuna maindi na kutamanisha wana nchi wenye njaa!
 
Bi Mkubwa yupi!??? Huyu hana hofu hiyo uisemayo, hata chembe. Ila ni mwogaaaa na mnafiki na yuko kwenye kundi lileeeeeeeeeee. Umenipata!???
Ulinielewa niliposema katiba?
Huyonna upole wake akiamua kuwa dikteta anaweza kwa kutumia katiba hii hii,
Halafu we need strong institutions na sio strong people .
Magu na ukali wake ameingizwa chaka mara kadhaa ,
 
Tulicheleweshwa sana huku tunadanganywa na SGR na flyover ambazo hazitakaa ziishe.
SGR Ni Gbadolite Kama chattle.
Nonsense😎
Unadanganywa na nani? unafuatilia kwanza kujua hiyo miradi imefikia wapi? unatambua manufaa ya hiyo miradi au ndio unalopoka tu kama mwendawazimu😅.
Kumalizika kwa hiyo miradi kutategemea na selikali ya sasa ilivyojipanga kama ambavyo awamu ya 5 ilivyoikuta miradi ya iliyoanzishwa awamu ya nne na kuimaliza.
 
Anachoweza ni kutumia ile kalamu nyekundu tu pale mezani kwa JPM, labda na kuwafyekelea mbali wazalendo wa kweli. Nothing more, nothing less!!!
Haha........

Sidhani hata kama yeye mwenyewe anafurahia kuwa Rais.

She looks weak, devastated, defeated and frustrated.

Mmemvalisha viatu vizito sana!

Anaburuza tu miguu mradi tufike.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] Ila wewe
Tulicheleweshwa sana, au nasema uongo ndugu yangu?

Hahahaha
 
Ulinielewa niliposema katiba?
Huyonna upole wake akiamua kuwa dikteta anaweza kwa kutumia katiba hii hii,
Halafu we need strong institutions na sio strong people .
Magu na ukali wake ameingizwa chaka mara kadhaa ,


Kenya mnayoisifia kuwa na the best Katiba, mbona coruption index yake ni ^mind-bongolingi^
 
Safiiiii Mama yetu, Rais wetu..!! 🙏🙏🙏👏👏👏👏💚💚💛💛🔰🔰👍👍
 
Don't forget kwamba anapoteza muda na rasilimali za nchi. JPM was a kind of nabii. Alisema tena na tena: ^Hakuna mtu mwingine wa kutekeleza miradi hii ya maendeleo.^ He was PERFECTLY right!!!
Alikuwa anatambua fika kwamba watu wote wanaomzunguka ni GOIGOI.

Akaona ni bora awe jeshi la mtu mmoja!

Sasa tunaona!
 
Back
Top Bottom