Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katiba ipo poa ?
Tungekua na katiba bora , watu kama ole sabaya , and the likes wangekuwa phased out na systems , sio kusubiri tamko la kiongozi ,
Ni vile tu mama ni mcha mungu na ana hofu ya dini, kupitia hihi hii katiba akiamua anaweza kuwa dikteta na tusimfanye lolote.
Sio kwamba amewasikiliza mataga ametokaKawaziba midomo MATAGA kuwa hatoki ofisini hahahahaa shenzi kabisa
Hahaha kwanini nyie watu mna mfumo dume kiasi hicho? Mkubalini tu Mama Samia yule marehemu wenu yuko kwenye kibanda umiza saa hiziMakamanda uchwara mtaucheza tu mziki wa chama tawala. Ikiwezekana muunge juhudi kabisa, ha ha ha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizi nchi zilizolaaniwa zina vituko sana.
Aisee mpaka MAJIZI na WAUZA NGADA wanamsifu... wanasema eti kwa sasa wana furaha kuliko wakati wa Magufuli....
Hiiiiiii....... Bhagosha!!!
Aliwaheshimu watu wa hali ya chini? Aagh wapi, hili nakataa miaka 100, pili ukitaka kumtawala mtu mwambie wewe ni mnyonge, hivi sisi tuna unyonge gani? Kama mtu una miguu na mikono na unasimamisha vizuri tu unaweza kunywa pombe na unaweza kulisha familia yako kwa kilima ekari kwa kutumia jembe, huo unyonge ni upi? Hii mentality ni mbaya sana sana, Mimi sio MnyongeLeo Hata mimi kaniziba mdomo, hivi ndo inavyotakiwa, asiishie Kariakoo tu, ajitahidi kuiga mazuri ya magufuli aliyokua anayafanya kwa wananchi maskini.
Magufuli alikua ni raisi Lakini akiwa na wananchi wanyonge alijishusha na kuwafanya waamini kuwa wote ni binadamu tu tofauti Cheo.
Mama nae akiwa mjanja siku ajichanganye tu avae dela aingie uswahilin ajichanganye na wananchi kama mwenzie, magufuli aliwaheshimu sana watu wa hali ya chini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shubaamit, Badala ya kutembelea miradi ya kimkakati anatembelea Nyanya na Pilipili hoho
She has power but she seems very powerless!Niko tayari kuvaa nguo diziani hiyo iliyokolezwa jina hilo kila sehemu, if that is the price I mist pay for letting people know how these five years will be ^presidentless^
Inaitwa stend ya mbezi sii stendi ya magufulitunamuomba pia afanye ziara stendi kuu ya mabasi ya Magufuli, maaana hapo pia ndio chanzo cha uchumi wa JiJi na Tz kwa ujumla.
Stendi ya kimataifa ya mabasi ya magufuli ni chanzo kikubwa cha uchumi wa Tanzania endapo tu, kutakuwa na uongozi imara.
tusisubiri watu waibe weee kisha badae aje CAG achunguze halafu ndipo tuchukue hatua, hii sio sawa kwa viongozi tuliowapa dhamana ya kusimamia.
, kwa nn mnasubiri wizi utokee halafu badae ndio tunachukua hatua! kwa nn tusichukue hatua mapema?
waswahili wanasema usipo ziba ufa utajenga ukuta mzima.
Kamanda safi sana kuunga juhudi, sasa endelea hivyo hivyo.Hahaha kwanini nyie watu mna mfumo dume kiasi hicho? Mkubalini tu Mama Samia yule marehemu wenu yuko kwenye kibanda umiza saa hizi
Very very weak!Basi, tungojee kuvuna mabua tu. Ni suala la muda tu. Utulivu wao huo kwa upande wa wapinzani na wapigaji unanikumbusha ile slogan sifishi, ^Never disturb your enemies when they are committing mistakes and blunders^
We love her more❤️😍Safi sana Mama Samia. Piga kazi!
We love youuuu madam President.
Raha ya ziara ya kushtukiza iondoke na mtu.
Kama mtu hajatumbuliwa basi kapoteza muda na fedha. Arudi ofisini.
Sasa umeandika nini wewee? Unataka aanze kuiba rambirambi na matrilion hazina na kufokafoka ndo umkubali anafanya kazi vizuri ya urais?Bi Mkubwa angekuwa wakili, watetewaji wake wote wangeishia kufungwa jela bila kujali status yao ya innocence au nini. She is more of a caring mother than a president. She cannot even ask penetrating questions zinazomfanya mtu, hasa hawa wakandarasi wasikudanganye ila waseme ukweli hata kama hawapendi kufanya hivyo kwa hiari.
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya ziara ya kustukiza katika soko la Kariakoo Dar es Salaam na kuongea na wafanyabisahara wa maeneo hayo
Safi sana mama wa taifa
Ni jambo jema mama amefanya tunataka Nchi isonge mbele, kwan tulicheleweshwa mno,au nasema uongo ndugu zangu
Yeye haendi bandarini kama mwendazake?
Tulicheleweshwa sana huku tunadanganywa na SGR na flyover ambazo hazitakaa ziishe.
SGR Ni Gbadolite Kama chattle.
Kwahiyo kutokwenda bandarini wewe unaona ni ujanja...?
Raha ya ziara ya kushtukiza iondoke na mtu.
Kama mtu hajatumbuliwa basi kapoteza muda na fedha. Arudi ofisini.
Safi sana Mama Samia. Piga kazi!
We love youuuu madam President.