Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Nani alitucheleweahaNi jambo jema mama amefanya tunataka Nchi isonge mbele, kwan tulicheleweshwa mno,au nasema uongo ndugu zangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani alitucheleweahaNi jambo jema mama amefanya tunataka Nchi isonge mbele, kwan tulicheleweshwa mno,au nasema uongo ndugu zangu
Leo Hata mimi kaniziba mdomo, hivi ndo inavyotakiwa, asiishie Kariakoo tu, ajitahidi kuiga mazuri ya magufuli aliyokua anayafanya kwa wananchi maskini.
Magufuli alikua ni raisi Lakini akiwa na wananchi wanyonge alijishusha na kuwafanya waamini kuwa wote ni binadamu tu tofauti Cheo.
Mama nae akiwa mjanja siku ajichanganye tu avae dela aingie uswahilin ajichanganye na wananchi kama mwenzie, magufuli aliwaheshimu sana watu wa hali ya chini
Endelea kupiga ramli!Kwa hiyo unalazimisha kuwa naishi Tanzania?You wish
KatibaHuwa najiuliza post ya mkuu wa nchii ni nyeti sana kulikoni ana by pass majukum ya mkurugenzi wa jiji,rc ,waziri
Kwenye minor issues kama hizi au to ndio siasa
Njia ya uhakika ya pesa kuwa na mzunguko wa kicheko nipale serikali itakapokuwa inawalipa wafanyabiashara pesa zao kwa wakati tuliambiwa wanahakiki madeni ni lugha rahisi sana ya kununua mudaSawa mama tuna imani nawe ila achia hera mitaani, bado mzunguko mdogo, maisha ni haya haya hatuitaji propaganda za flyover Barabara za njia 10 hayo yaje badaye Mama.
Ni kweli ma bombadia yapo tu yanazidi kulitia hasara taifaTulicheleweshwa sana huku tunadanganywa na SGR na flyover ambazo hazitakaa ziishe.
SGR Ni Gbadolite Kama chattle.
Katiba
Katiba
Katiba
Bila katiba mpya movements zitakuwa ni hizi hadi mwisho, mama yupo determined kutukomboa ila anakwamishwa na watendaji wake .
Its like soccer game in grammar school , where everyone is running after the ball ,and nobody is holding his position.
Hawezi kufanya kila kitu kama yule,yeye ana staiki yakeRaha ya ziara ya kushtukiza iondoke na mtu.
Kama mtu hajatumbuliwa basi kapoteza muda na fedha. Arudi ofisini.
Ilkuwa ya Bongo muvi ni balaaaaNdiyooooooooo!!!
Ahahahahahah.. Awamu ya 5 bwana
Kashimbe: Ni balaa.. Siyo balaa la awamu ya tano, bali skirt nyekundu.. Ni balaa!Ilkuwa ya Bongo muvi ni balaaaa
Angeshitukiza kwenye wizara moja wapo na kuomba matumizi ya miezi 2 au 3 hasa posho ingekuwa poa sana, sasa kariakoo kuna nini ?
She is weak!Ameenda ndiyo, lakini hajasolve kitu. She is more of a problem that the real problem itself. Ukiona na kusikiliza anavyohoji na kubabaika, kwa mbali unamsikia JPM kule Dodoma akisema, ^Brigedia, hapa tumepigwa!^
sema unayo iman usijumuishe kila mtu kwenye upuuzTunasafisha kwanza maeneo yanayo wagusa watanzania wengi moja kwa moja. SSH tunayo imani na wewe. Wademkaji out!
Hakuna mtu pale.... ni dhaifu
Katiba ipo poa ?Siyo Katiba
Ila
Kiongozi
Kiongozi
Kiongozi
Hakuna kitu hapo!
Aisee mpaka MAJIZI na WAUZA NGADA wanamsifu... wanasema eti kwa sasa wana furaha kuliko wakati wa Magufuli....This comment is underrated. Afadhali Mstaafu wa Msoga aingie tu Magogoni tena tujue moja.
She is weak!
Lakini angalia usije kuitwa "sukuma gang"...
Teh....teh...