Rais hana strategic plan eti anashtukiza, hii maana yake nini? kila rais ajaye anakuja na mambo yake mapya vile vibanda vimekosa kuwa controled earlier sasa watu vimeshakuwa ndio maisha yao leo uje uwambie hameni sijui mwende wapi na wapi., hakuna mfumo mzur wa kiutawala.,
Mwendazake aliwambia ata katika baraza ya mkuu wa mkoa kamea mtu anahisi biashara yake inakwenda mtu apange biashara zake sasa leo eti watafutiwe maeneo wakati pale kariakoo ndio business place.,
Ajira wameshindwa kutoa lakini wanajifanya wajanja ku-control waliojiajiri, walimu elfu 6 ambao watatoa ajira kwenye yenye populatiaon milioni 60 karibu it is good for nothing.