Rais Samia afanya ziara ya kushtukiza Kariakoo, Mbagala na Mwananyamala Jijini Dar

Hakuna cha kwenda taratibu wala nini kamanda, hebu eleza hivyo vitendo.
Ok, good angalia aina ya thread mnazopost wewe na MATAGA wenzako za kumkashifu Mama Samia, angalia hata kwenye thread hii, kuna Mouuzi anasema kwa Namna Mama Samia alivyomjibu Mkandarasi wa Ujenzi Mbagala inathibitisha kuwa hakuna Rais pale....je hii ni sahihi??
 
Hebu nionyeshe nilipopost nione? Kamanda wewe unga tu juhudi, usiogope hakuna atakayekudhuru.
 
Mjerumani alitumia miaka 9 (1905-1914) kujenga reli ya kati (Dsm -Kigoma) wala siyo miaka mitano.
 
Hebu nionyeshe nilipopost nione? Kamanda wewe unga tu juhudi, usiogope hakuna atakayekudhuru.
Hahhaaha nikuonyeshe nini tena? Suala la Kumsapoti Mama Samia ni la kwetu sote na akikosea tutamkosoa tu, wala hili liko wazi. Kwa sasa Mama Samia ana upinzani mkubwa sana ndani ya CCM kwakuwa mmegoma kumkubali. Hii ni fact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…