Rais Samia afanya ziara ya kushtukiza Kariakoo, Mbagala na Mwananyamala Jijini Dar

Hahhaaha nikuonyeshe nini tena? Suala la Kumsapoti Mama Samia ni la kwetu sote na akikosea tutamkosoa tu, wala hili liko wazi. Kwa sasa Mama Samia ana upinzani mkubwa sana ndani ya CCM kwakua mmegoma kumkubali. Hii ni fact
Acha kujidanganya kamanda.
 
Hahhaaha nikuonyeshe nini tena? Suala la Kumsapoti Mama Samia ni la kwetu sote na akikosea tutamkosoa tu, wala hili liko wazi. Kwa sasa Mama Samia ana upinzani mkubwa sana ndani ya CCM kwakua mmegoma kumkubali. Hii ni fact
Kwahiyo 2025 CHADEMA mtampigia Samia na CCM kisha CCM watampigia kura CHADEMA
 
Kamanda unga tu mkono juhudi usione aibu.

Ila inafurahisha kuona sasa wenzetu wa upinzani nao mmebadirika mnamuunga mkono rais tofauti na mwanzo mlikuwa mnatukna hovyo tu.
 
Alikuwa anatambua fika kwamba watu wote wanaomzunguka ni GOIGOI.

Akaona ni bora awe jeshi la mtu mmoja!

Sasa tunaona!
Wakwamia awamu,yenu mnaitawengine goigoi kumbe wenyewe ndio mlijigeuza goigoi kwa kujua ,kuwa mnaye wakuwasemea na kuwafanyia yote,huku mkiwa mmejiachia na kulala usingizi kabisa,amkeni kazi iendelee.
 
Hahhaaha nikuonyeshe nini tena? Suala la Kumsapoti Mama Samia ni la kwetu sote na akikosea tutamkosoa tu, wala hili liko wazi. Kwa sasa Mama Samia ana upinzani mkubwa sana ndani ya CCM kwakua mmegoma kumkubali. Hii ni fact
Hao tunawaita wakwamia awamu yao pendwa.
 
Ana upinzani ccm alafu anapata kura 100% za kuwa mwenyekiti wa ccm?

Nyumbu bwana
Hiyo si baada ya kutishana kuadabisha watakao enda kinyume na maamuzi ya kikao,unafiki mlizoea kuutanguliza kwa maslahi ya matumbo ya wachache.
 
Rais hana strategic plan eti anashtukiza, hii maana yake nini? kila rais ajaye anakuja na mambo yake mapya vile vibanda vimekosa kuwa controled earlier sasa watu vimeshakuwa ndio maisha yao leo uje uwambie hameni sijui mwende wapi na wapi., hakuna mfumo mzur wa kiutawala.,

Mwendazake aliwambia ata katika baraza ya mkuu wa mkoa kama mtu anahisi biashara yake inakwenda mtu apange biashara zake sasa leo eti watafutiwe maeneo wakati pale kariakoo ndio business place.,

Ajira wameshindwa kutoa lakini wanajifanya wajanja ku-control waliojiajiri, walimu elfu 6 ambao watatoa ajira kwenye yenye populatiaon milioni 60 karibu it is good for nothing.
 
Sheria,taratibu,na kanuni.Kivingine twaweza sema vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
Sawa mama tuna imani nawe ila achia hera mitaani, bado mzunguko mdogo, maisha ni haya haya hatuitaji propaganda za flyover Barabara za njia 10 hayo yaje badaye Mama.
Habari zinaonyesha,kuanzia mwezi wa Saba hali itakuwa mbaya mara tano ya hali ulivyo,muda Ni Mali.
 
SSH ni bure, uwezo mdogo, akae mbali na mikusanyiko ambayo atahitaji kujibu maswali moja kwa moja, maana majibu yake yanaweza kukutapisha.
Nimejaribu kujiuliza wewe ni mtu wa aina gani mara mbili mbili sijapata jibu itoshe tu kusema hata kam mitandaoni tuonesha kuwa tunaelimu,tumefunzwa na tuna maadili.
 
Wewe utakua MPUSH ambaye anaona SGR, BOMBARDIER na flyover ukijumlisha mataa ya barabarani ndio maendeleo. I am sorry for you.
 
Stratege yako ni kufanyia biashara mbele ya walipa kodi,kwa kuwa hiyo fursa imekuwepo sio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…