Rais Samia afanya ziara ya kushtukiza Kariakoo, Mbagala na Mwananyamala Jijini Dar

Rais Samia afanya ziara ya kushtukiza Kariakoo, Mbagala na Mwananyamala Jijini Dar

Ebu tulia utupe habari kamili. Hizi ni Habari Butu, kusimamishwa kazi bila hata course, please habari iwe kamili.
 
Ni jambo jema amefanya Mheshimiwa Rais kariakoo ilikufa kabisa afadhali akajionee mwenyewe hali ikoje
 
Apite na kariakoo hapo misheni kota aone kero ya malori
Mpaka wengine tumehamia
 
Keshawagusa wamachinga, kawaambia Serikali imewabeba ila hawafati sheria hivyo atakaa na viongozi wa jiji ili wapangiwe maeneo
 
Kwa sasa yupo anakagua mradi wa BRT
 
Back
Top Bottom