ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Una upungufu wa akili ww....Tulicheleweshwa sana huku tunadanganywa na SGR na flyover ambazo hazitakaa ziishe.
SGR Ni Gbadolite Kama chattle.
punguani yaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una upungufu wa akili ww....Tulicheleweshwa sana huku tunadanganywa na SGR na flyover ambazo hazitakaa ziishe.
SGR Ni Gbadolite Kama chattle.
Mbowe sio size yako wewe, yule hata ufanye nini hamna kitu waweza.....Mbowe atapinga
Tunasafisha kwanza maeneo yanayo wagusa watanzania wengi moja kwa moja. SSH tunayo imani na wewe. Wademkaji out!Yeye haendi bandarini kama mwendazake?
Siwezi kushusha heshima yangu kurushiana matusi na chawa wewe.Una upungufu wa akili ww....
punguani yaani
Mkuutunamuomba pia afanye ziara stendi kuu ya mabasi ya Magufuli, maaana hapo pia ndio chanzo cha uchumi wa JiJi na Tz kwa ujumla.
Stendi ya kimataifa ya mabasi ya magufuli ni chanzo kikubwa cha uchumi wa Tanzania endapo tu kutakuwa na uonhozi imara
Huyo wa kwenye picha ni wewe?Ni jambo jema mama amefanya tunataka Nchi isonge mbele,kwan tulicheleweshwa mno,au nasema uongo ndugu zangu
Jiwe alituchelewesha sanaNi jambo jema mama amefanya tunataka Nchi isonge mbele,kwan tulicheleweshwa mno,au nasema uongo ndugu zangu
Mbowe atapinga
Wewe si ndio uliyekuwa ukikatika viuno kumuunga mkono Jiwe atawale mileleMbowe atapinga
Huna akili ni vema upite vileSiwezi kushusha heshima yangu kurushiana matusi na chawa wewe.
Baadaye lini sasa flyover zinahitajika sana, kuliko unavyofikiria weweSawa mama tuna imani nawe ila achia hera mitaani, bado mzunguko mdogo, maisha ni haya haya hatuitaji propaganda za flyover Barabara za njia 10 hayo yaje badaye Mama.
SGR itakwisha ukizingatia Mama katoa bilioni 372 zinazoenda kufanya kitu kikubwa.Tulicheleweshwa sana huku tunadanganywa na SGR na flyover ambazo hazitakaa ziishe.
SGR Ni Gbadolite Kama chattle.
Chanzo cha uchumi wa Taifa tuache exageration. Stand ya Magufuli inakuaje chanzo kikuu cha uchumi wa Taifa. Au huelewi uchumi wetu unategemea nini?tunamuomba pia afanye ziara stendi kuu ya mabasi ya Magufuli, maaana hapo pia ndio chanzo cha uchumi wa JiJi na Tz kwa ujumla.
Stendi ya kimataifa ya mabasi ya magufuli ni chanzo kikubwa cha uchumi wa Tanzania endapo tu, kutakuwa na uongozi imara.
tusisubiri watu waibe weee kisha badae aje CAG achunguze halafu ndipo tuchukue hatua, hii sio sawa kwa viongozi tuliowapa dhamana ya kusimamia.
, kwa nn mnasubiri wizi utokee halafu badae ndio tunachukua hatua! kwa nn tusichukue hatua mapema?
waswahili wanasema usipo ziba ufa utajenga ukuta mzima.