Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Ziara ya Rais Samia Tanga, Makubwa yamefanyika
Tanga inajivunia kujengwa kwa Shule ya Sekondari ya wasichana ya Mkoa iliyopo katika eneo la Mabalanga wilayani Kilindi
Ni shule maalam ya bweni ya mchepuo kwa sayansi, yenye jumla ya madarasa 12, mabweni nane, jengo la utawala, maabara tatu, nyumba za walimu , chumba cha wagonjwa, na bwalo la chakula. Shilingi bilioni 4.45 zimetumika kukamilisha ujezi wa shule hii ni moja kati ya shule 26 za mikoa za sayansi za wasichana zilizojengwa kila mkoa Tanzania bara.