Ziara ya Rais Samia Tanga, Makubwa yamefanyika
Tanga inajivunia kujengwa kwa Shule ya Sekondari ya wasichana ya Mkoa iliyopo katika eneo la Mabalanga wilayani Kilindi

Ni shule maalam ya bweni ya mchepuo kwa sayansi, yenye jumla ya madarasa 12, mabweni nane, jengo la utawala, maabara tatu, nyumba za walimu , chumba cha wagonjwa, na bwalo la chakula. Shilingi bilioni 4.45 zimetumika kukamilisha ujezi wa shule hii ni moja kati ya shule 26 za mikoa za sayansi za wasichana zilizojengwa kila mkoa Tanzania bara.
 

Attachments

  • FB_IMG_1740542909690.jpg
    91 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1740542911981.jpg
    75.3 KB · Views: 1
Gharama za ziara yake zinajenga shule 20 kama hizo
 
February ma rope katangaziwa msamaha na kuhani mkuu bila wanakaya kuambiwa kosa wala kuambiwa kama alikuwa kanuniwa..πŸƒπŸΏπŸƒπŸΏπŸƒπŸΏπŸƒπŸΏ
 
Moaka rais aje ndio shule ijengwe? Yaan viongoz wa huo mkoa huwa wanakuwa wapi?
 
Kodi za wananchi hizo, hakuna hisani hapo ni wajibu
 
Ila katika watu wnaoishi kwa shida kipindi au awami hii ni hawa haters wa mama Kwakweli.......mama anawatesa sana sana, spidi yake si ya nchi hii.
 
Miradi ya Saa100, huko Mkoa wa Kilimanjaro.
Mkuu wa Mkoa huo, alitembelea shule hii, na kuikagua,ila akapiga kimya.
 

Attachments

  • millardayo_87586b7fde804f1793b45dcc73d99f50.jpg
    180.4 KB · Views: 1
  • millardayo_a60d2b2aa8534d76a0ad5fc7153ab0cd.jpg
    148.8 KB · Views: 1
Binafsi nampongeza Mana kumkumbuka Mh Beatrice, yule mbunge alipinga sana ufisadi, alikuwa team Slaa na Mwakyembe, nimeshangaa na nimefurahi sana kukumbukwa na mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…