Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Rais Samia Suluhu Hassani leo Aprili 28, 2021 amehudhuria Kikao Cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu Ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichofanyika Dodoma.
Kikao kinaendelea katika Ukumbi unaomilikiwa na Chama wa Jakaya Kikwete Convention Center Dodoma.
Makamo wa Rais Dkt Philip Mpango na Rais wa Zanzibar Dkt Hussein Mwinyi pia wanahudhuria kikao hicho hicho muhimu kuelekea Mkutano Mkuu April 30, 2021.