Rais Samia ahudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi kilichoketi leo Dodoma

Rais Samia ahudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi kilichoketi leo Dodoma

Marais wengi ikiwemo Rais wa Marekani ratiba zao za week nzima zipo on. Nenda katafute WhiteHouse utaona ratiba ya rais. Sasa huyu wa Tanzania eti haitoki kwa sababu za usalama, usalama gani?

Huo ni Ushamba wa Usalama
tunawahofia wasukuma,hatuwezi kuweka ratiba ya rais adharani, maana wasukuma wamechefukwa rohoo kwa urais wa Madam samia
 
Marais wengi ikiwemo Rais wa Marekani ratiba zao za week nzima zipo on. Nenda katafute WhiteHouse utaona ratiba ya rais. Sasa huyu wa Tanzania eti haitoki kwa sababu za usalama, usalama gani?

Huo ni Ushamba wa Usalama
Hakuna ratiba actually kwa huko kwenu, rais akitamburikiwa tu leo naenda bandarini ataenda, leo naenda bwawa la nyerere ataenda tu ni atakavyojisikia tu akiamka, au leo sitoki basi hatoki analea wana
 
Marais wengi ikiwemo Rais wa Marekani ratiba zao za week nzima zipo on. Nenda katafute WhiteHouse utaona ratiba ya rais. Sasa huyu wa Tanzania eti haitoki kwa sababu za usalama, usalama gani?

Huo ni Ushamba wa Usalama
Ni kama kuzuia kupiga picha daraja la kigamboni au kwenye pantoni eti ni sababu za kiusalama

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Mungu ampe hekima, amlinde na ambariki sana, Aongoze hii nchi ifikie kiwango cha nchi Tajiri.
 
Marais wengi ikiwemo Rais wa Marekani ratiba zao za week nzima zipo on. Nenda katafute WhiteHouse utaona ratiba ya rais. Sasa huyu wa Tanzania eti haitoki kwa sababu za usalama, usalama gani?

Huo ni Ushamba wa Usalama
Unaijua ratiba ya Mbowe?
 
Akitoka huko ndio anakuwa rais wetu.
Hasa akishavua hayo mavazi ya kijani na njano.

Akiwa huko ni wa CCM tu.
Na ikimpendeza yeye na viongozi wengine wa serikali, wajitahidi kuwa wanavaa nguo ambazo si za kichama kwenye ziara na shughuli za kiserikali... maana nafikiri viongozi kuvaa mavazi au regalia za chama hata kwenye shughuli / ziara za kiserikali, zinawanyima wananchi wengine wasio na vyama au vyama vingine, kujihisi shughuli hizo si wahusika, wa kujadili au kuchangia maendeleo yao ...yaani wewe fikiria watu wa vyama vingine kila mmoja akiudhuria na regalia ya chama chake kwenye shughuli hizo, si itakuwa ni fujo tu...tutafakari na hilo....kazi iendelee.
 
Back
Top Bottom