Rais Samia ahudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi kilichoketi leo Dodoma

Rais Samia ahudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi kilichoketi leo Dodoma

Mungu akusimamie Mama yetu na ikapate kuwa heri.
 
Ndugu zangu,

Wembe ni uleule,kumekucha Dodoma!

Screenshot_20210428-122849.jpeg
 
Hakuna ratiba actually kwa huko kwenu, rais akitamburikiwa tu leo naenda bandarini ataenda, leo naenda bwawa la nyerere ataenda tu ni atakavyojisikia tu akiamka, au leo sitoki basi hatoki analea wana
Sio kweli, ratiba za Rais zinapangwa hata mwezi kabla na wakuu wa mikoa na wilaya anapoenda wanakuwa wamejulishwa
 
Marais wengi ikiwemo Rais wa Marekani ratiba zao za week nzima zipo on. Nenda katafute WhiteHouse utaona ratiba ya rais. Sasa huyu wa Tanzania eti haitoki kwa sababu za usalama, usalama gani?

Huo ni Ushamba wa Usalama.
tusiwe tunapenda kila wanachofanya Wamarekani basi lazima na sisi tuige, ratiba zake zipo na wahusika wakuu wanazijua hata unapoona anakwenda tembelea sehemu iwe ni miradi,kongamano au jambo lolote ambalo siyo la dharula jua ipo ndani ya ya ratiba na wahusika wakuu wanazijua.
 
Rais Samia Suluhu Hassani leo Aprili 28, 2021 amehudhuria Kikao Cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu Ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichofanyika Dodoma.

Kikao kinaendelea katika Ukumbi unaomilikiwa na Chama wa Jakaya Kikwete Convention Center Dodoma.

Makamo wa Rais Dkt Philip Mpango na Rais wa Zanzibar Dkt Hussein Mwinyi pia wanahudhuria kikao hicho hicho muhimu kuelekea Mkutano Mkuu April 30, 2021.

Jakaya na mzee mwinyi wamo?
 
Marais wengi ikiwemo Rais wa Marekani ratiba zao za week nzima zipo on. Nenda katafute WhiteHouse utaona ratiba ya rais. Sasa huyu wa Tanzania eti haitoki kwa sababu za usalama, usalama gani?

Huo ni Ushamba wa Usalama.
Pia huko Marekani status ya ulinzi ni bora kabisa .
Hata hivyo si kila jambo tufanane na America
 
Back
Top Bottom