Rais Samia ahudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi kilichoketi leo Dodoma

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Rais Samia Suluhu Hassani leo Aprili 28, 2021 amehudhuria Kikao Cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu Ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichofanyika Dodoma.

Kikao kinaendelea katika Ukumbi unaomilikiwa na Chama wa Jakaya Kikwete Convention Center Dodoma.

Makamo wa Rais Dkt Philip Mpango na Rais wa Zanzibar Dkt Hussein Mwinyi pia wanahudhuria kikao hicho hicho muhimu kuelekea Mkutano Mkuu April 30, 2021.





 
Aise Mama yetu yuko mbele ya muda kumbe, leo tar 28 ila keshahudhuria kikao cha tar 29 yuko vizuri.
 
Rais Samia Suluhu Hassani leo Aprili 29, 2021 amehudhuria Kikao Cha Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichofanyika Dodoma

Kikao kinaendelea katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center Dodoma
... leo Aprili 29? Uko fasta sana kijana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…